Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Acha kuangalia pornography,kula vizuri,fanya mazoez walau mara3 kwa wiki.
 
Unafanya masterbation? Huwa unakaa muda gani hadi kutoa sperm iwe kwa sex au kwa masterbation?
 
Kuna zoez
La kukaza misul ya pelvic floor muscule inatibu hal hiyo njoo whats app 0712505049 uje na sadaka kidogp elf 5
 
Hiyo ni issue ya akili na kuwa,idle and unproductive.

Fanya meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…