Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

Kwasasa nasikia vizuri sana. Ukutane tu na Dr. mzuri asiyekuwa na tamaa. Nina vifaa vya ku charge.
 
Vinanisaidia sana. Nilikuwa sisikii kwa Sasa nasikia.
 

Attachments

  • IMG_20241006_114628_610.jpg
    309 KB · Views: 4
Inanisaidia sana
 

Attachments

  • IMG_20241006_114751_658.jpg
    444.3 KB · Views: 4
  • IMG_20241006_114728_925.jpg
    256.5 KB · Views: 5
...Yaani Hospital kubwa ya CCRBT ikashindwa tatizo lako na kukurlekeza Zahanati.ya Magomeni ??? [emoji848][emoji848]
Pale kuna kulikuwa na specialist wa matatizo ya pia, koo na masikio....kwa sie wenye matatizo ya aina hiyo hicho kijiwe lazima ukijue....kulikuwa kuna Dr. Ole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…