Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

Polen sana......
mdogo wangu wa3 alipigwa sana vibao hasa vya masikioni na baba yetu mzazi akiwa [HASHTAG]#amelewa[/HASHTAG] hata [HASHTAG]#hajalewa[/HASHTAG] imempelekea kutosikia vizur hadi sana akikupa mgongo akusikii roho inaniumaga sana japo ni baba mzazi ila some times namchukia sana kwa kumfanya ivi N.B.

Alioa mwanamke mwingine (MAMA wa KAMBO) ata kama hujafanya kosa unastukia unaitwa unapigwa vibao ndio hali hii ikampelekea mdogo wangu...mzazi ni mzazi ila kwa hili............... mmmhhhh namtoleaga mbov na asinilazimishe nimsaidie nampaga makav live.
 
Polen sana......
mdogo wangu wa3 alipigwa sana vibao hasa vya masikioni na baba yetu mzazi akiwa [HASHTAG]#amelewa[/HASHTAG] hata [HASHTAG]#hajalewa[/HASHTAG] imempelekea kutosikia vizur hadi sana akikupa mgongo akusikii roho inaniumaga sana japo ni baba mzazi ila some times namchukia sana kwa kumfanya ivi N.B. Alioa mwanamke mwingine (MAMA wa KAMBO) ata kama hujafanya kosa unastukia unaitwa unapigwa vibao ndio hali hii ikampelekea mdogo wangu...mzazi ni mzazi ila kwa hili............... mmmhhhh namtoleaga mbov na asinilazimishe nimsaidie nampaga makav live.

maskini huenda nae anajuta!wazaz wetu nao jaman!khaa!
 
Nakumbuka nilishawahi kutumia quinine mara mbili tu katika maisha yangu.
Tena nilimeza tembe zile nyeupe awamu ya kwanza na baadae niliumwa tena nikameza zile za pale pinc. Siwezi kuwa realistic kwamba ndizo zimeniletea madhara haya!? nilitumia quinine mara ya mwisho mwaka 2013/2014 sielewi kivipi madhara niyapate mwaka huu?!!
Ipo haja ya kufanya utafiti juu ya hili ili ikibainika tuwashitaki watengenezaji wa hii dawa.
Utawashitaki kivipi wakati sisi ndio taste ya dawa zao wakati wao wenyewe hawatumii.

Usiombe uchome sindano zake au drip zake usikii kabisaaaaaaaa. Namshukulu mungu mimi ni Mtanzania naishi mbagara ila sijawahi kuumwa Maralia naumwaga Kichwa tu na macho ndio ugonjwa wangu
 
Dah! Mkuu asikwambie mtu hili tatizo mimi pia lilinipata tangu 2012 mpaka leo naskiaga makelele mengi sana lakini nilijitahid mpaka nimemaliza masomo yangu chuo kilimo mpaka leo tatizo ninalo nimeenda kote sijui muhimbili na pengine pengi mpaka hawa wa tiba mbadala lakini wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio hosp ya Taifa sikio linawashinda jamani jamani sasa sisi maskini tunaojivunia ndio hosp ya rufaa kumbe takataka kabisaa
 
Wat i know! Many of our sense of organs hazina going back! Hua ni zinaenda mbele tu...

Macho,masikio,pua,mdomo,kidogo ngozi inaweza ikarudi nyuma...yaani ikapokea uponyaji baada ya kua dhaifu...

But mim nina tatzo la macho na masikio kwa mbaali! Yanai kama sauti ya mtu ni nzito inabidi nimsikilize kwa makini sana kusikia kila neno! Ila kwa sauti nyembamba naskia vzr sana! Macho ndo hvo ni kila siku kuongeza lens!

Milango ya fahamu hua hairudi nyuma baada ya kupata udhaifu kdg! Kikubwa maombi na imani juu ya Mungu unaemuamini yeye ataweza kuimarisha.

This point.
Mimi natatizo la macho juani siwez kuangalia kabisa hasa ikifika saa sita ila giza likiingia nainjoi. Nilikua navaa miwan mda wote docta alinisema kua bado mdogo sana any time unavaa miwani.
Akanishauli chukua ushauli huu uzingatie. Kula matunda na mboga za majan sana pia ukibeba mimba ukijifungua si utakaa ndani siku 40 naomba usivae miwani ndani ya huo mda maana si utakuwa hutembei..... maana mimi naona vizuri mbali na karibu ila mwanga tu (Mionzi) nilifanya ivyo nashukul hadi leo sivai miwani na mwanangu anafikisha miaka mi5 sasa.
 
mimi nimeugua macho toka mwaka 2000 dawa zootye nimetumia!nikahamia kwenye lens wapi!nimekuja kutana na dk 1 ndo akaniambia haya macho ni ya pumu unavaa miwan bure !shaaabaaaasssh!jicho lilikua linaivaaaa linawasha na kutoa maji! nilikua sijiangalii nkwenye kioo! nikapata dawa ya alegy!sasa v hayana wekundu!pole sana nami nimekula carrot daily hakluna kitu !ah!
 
Utawashitaki kivipi wakati sisi ndio taste ya dawa zao wakati wao wenyewe hawatumii.

Usiombe uchome sindano zake au drip zake usikii kabisaaaaaaaa. Namshukulu mungu mimi ni Mtanzania naishi mbagara ila sijawahi kuumwa Maralia naumwaga Kichwa tu na macho ndio ugonjwa wangu
Suala la kumshtaki mzalishaji wa dawa ni haki yetu kisheria na ipo wazi.
Ikithibitika kuwa quinine inaleta madhara haya, lazima watoe fidia kwetu wahanga nami nipo tayari kulishughulikia hilo.
 
Sas
Suala la kumshtaki mzalishaji wa dawa ni haki yetu kisheria na ipo wazi.
Ikithibitika kuwa quinine inaleta madhara haya, lazima watoe fidia kwetu wahanga nami nipo tayari kulishughulikia hilo.
Unaenda kumshtaki vip wakati watu walishalalamika sana kitambo wananchi na sasa wanasema hazifai zimeshapigwa marufuku. Unakumbuka [HASHTAG]#FANSIDA[/HASHTAG] zile dawa za malaria zilizokuwa zinababua ngozi mwili mzima unakuwa kama umeungua na moto serikali kwani ilikua haijui hili tatizo nazo zikapigwa marufuku. sasa zimeletwa mseto zinanuka kama [HASHTAG]#kunguni[/HASHTAG] na zitakuja na zingine utaambiw izi hazitibu Malaria pia....watu wanaathirika na hakuna wanaoshikiliwa wala kuwashitak.

Kesi ya kutengeneza ARV feki kiwanda cha Arusha imeishia wapi mbona ipo kimya nani anaongea watu washapiga ela siku zinasonga sisi ndio tunaoumia.
 
ukimwita hivo unata faida gani?kwani yeye mwenyewe hajijui?
acha ushoga mtoto wa kiume..
kuparamia ya watu yako yanakushinda..

pambana na hali yako
hizi hulka waachie dada zako.utakuja kuolewa!!
Nioe basi
 
Poleni sana Wakuu ambao mumekubwa na tatizo hili.

Nimepitiwa post zote kwa takribani muda wa saa nzima kwenye huu uzi, nimejifunza mazuri na mabaya katika huu uzi.

Jambo la muhimu kuwausieni wakuu kuhusu hili tatizo ni kuwa na uvumilivu subira ndipo utafanikiwa kwa kila jambo jema.

Nwashukuru pia wote waliochangia mawazo chanya na wale ambao wameonesha mawazo hasi napo ni mtazamo wao.

Tuwe na ubinadamu pale tunapoona kuna tatizo linalohitaji msaada japo wa mawazo/maoni
 
kwakweli inaumiza mno mno! usikate tamaa princess ariana na huenda wewe shida yako ikawa ndigo kuliko ya mwingne!usifikie huko kbs!endelea kufurahia maisha!sipend kbs mie mtu kumcheka mwenye tatzo lolote! mie mwenyewe nna pumu nikianzaga kukohoa basi kila mtu anakushangaa! mxiew! hujafa ....
GOD have mercy on us[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom