Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kuishi hivo asikwambie mtu nmexperience na naendelea kuxperience
Pole Sanain short tuko wengi, hata mimi since 2007 sikio la kulia limeziba kabisa..
haliumi nmeenda muhimbili wakanikatazaga tu nisile kisamvu na mihongo na kelele.
kwakweli nimepotia mengi sana kuhusu sikio mpaka siba hamu hapa nilipo...nmeamua kukubali hali yangu tu.
siwezagi kulala sehemu za kelele au kama tunaongea na cm uko kwenye kelele. nazisikia kelele badala ya wewe.. yani nahitaji utulivu wa akili kiasi kwamba ikitokea mikelele navurugika
Kweli Mkuu tupo wengi, tatizo hilo nami ninaloin short tuko wengi, hata mimi since 2007 sikio la kulia limeziba kabisa..
haliumi nmeenda muhimbili wakanikatazaga tu nisile kisamvu na mihongo na kelele..
kwakweli nimepotia mengi sana kuhusu sikio mpaka siba hamu hapa nilipo...nmeamua kukubali hali yangu tu.
siwezagi kulala sehemu za kelele au kama tunaongea na cm uko kwenye kelele. nazisikia kelele badala ya wewe.. yani nahitaji utulivu wa akili kiasi kwamba ikitokea mikelele navurugika
Pole yetu mkuu hata mie in hivyohivyo japo some time nikiongea kwenye twaweza elewana au tusielewane kabisa
Yani hizo ukizitumia ndio yanakusababiishia matatizoHyo hearing sioni kama inasaidia kwa kwely, maana wengi tuliozitumia tuishia kuachana nazo
Kwa nini usimshaur hapa ili wafaidike na wenginePole Sana mkuu, hata mie nina tatzo hilo la kusikia ila miaka ya nyuma nilipokuwa naenda hospital niliambiwa niwe natumia hearing device lakini niliona na mtu mwenye tatzo kama langu akanishauri nisitumie hearing device kwa maana vina madhara makubwa Sana, kwa mfano kama unatumia hearing device basi ili usikie unahitaji sauti kubwa Sana, kisayansi hearing device vinakusanya Sana mawimbi ya sauti then vinasukuma kuingia ndani ya ngoma ya sikio. Njoo PM ndugu nikupe ushauri na uzoefu ili utimize ndoto yako kielimu
Waje pmKwa nini usimshaur hapa ili wafaidike na wengine
MSISITIZOAsante sana kaka mkubwa LUCKDUBE . Ni kweli macho yameanza kuzingua siku za karibuni, nitajaribu kufata ushauri wako
HakikaMSISITIZO
Usile wala kula bidhaa za viwandani, kula mlo kamili,
Mfano kuna muda unaweza kuwa kwenye sherehe au tafrija ukapewa bia ,soda au juisi tafadhari usishawishike kuvitumia omba maji kama mbadala, mimi nna miaka kadhaa sijatumia hizo taka taka,
Kula matunda mkuu,
Usile gengeni au hotelini , pika mwenyewe
KUHUSU MASOMO
Nenda chuo bwana mdogo ukifika huko wakati unaendelea kufuata ushauri nliokuelekeza,
Toa taafifa kwa uongozi wa chuo huku ukiambatanisha nyaraka za hospitali zote ulizopitia,
Uta be regaded kama special case, utasoma na kurudi home ukiwa na degree yako safi,
MKUU UTAPONA KABISA FUATA USHAURI WANGU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Justice mister,The mind has a power to create and heal the diseases. If you want to heal your body then, just change your mind and thoughts. The conventional doctors wound but the mind heals.
Mimi nilikuja kugundua chanzo cha vijana wengi kutokusikia ni matokeo ya kuchomwa sindano za quinine pindi wauguapo malaria,Ni ngumu kuishi hivo asikwambie mtu nmexperience na naendelea kuxperience
sometimes unaweza ishi kama uko hell
unakuta mtu anaamua kukukejeli ,aweza kuita kukupima tu ukiitika anakwambia basi anacheeka... usiombe yakukute ungali bado shule ya msingi au secondary hayo manyanyapao utajuta.....
kuna mtu alimkejeli dada mmoja alikua hasikii kabisa nilijiskia vbaya, Mungu ni mwema yule kaka mwaka juzi kaumwa sana dawa zinakaja ku affect masikio hasikii kabisaaaaa.
usiwacheke watu kilema, wengi wetu tumepata kutokana na dawa za hosp affect zake mfano mimi quinine...
imeniathiri mpaka leo sinaga marafiki,rafiki yangu huwaga ni simu tu.sitakagi kuwakera watu
facing the same problem.quinine imeniharibia mengi maishani.Ni ngumu kuishi hivo asikwambie mtu nmexperience na naendelea kuxperience
sometimes unaweza ishi kama uko hell
unakuta mtu anaamua kukukejeli ,aweza kuita kukupima tu ukiitika anakwambia basi anacheeka... usiombe yakukute ungali bado shule ya msingi au secondary hayo manyanyapao utajuta.....
kuna mtu alimkejeli dada mmoja alikua hasikii kabisa nilijiskia vbaya, Mungu ni mwema yule kaka mwaka juzi kaumwa sana dawa zinakaja ku affect masikio hasikii kabisaaaaa.
usiwacheke watu kilema, wengi wetu tumepata kutokana na dawa za hosp affect zake mfano mimi quinine...
imeniathiri mpaka leo sinaga marafiki,rafiki yangu huwaga ni simu tu.sitakagi kuwakera watu
asnte tushazoeaPole Sana
asanteee ndio hivo
wengi wetu hatujazaliwa hivi, haya matatizo ni hizo quinineMimi nilikuja kugundua chanzo cha vijana wengi kutokusikia ni matokeo ya kuchomwa sindano za quinine pindi wauguapo malaria,
Hili ni jambo muhimu nilitaka kulisahau,
Nisaidie kumtag mtoa thread,
Asiwe anakubali kuchomwa sindano au drip za quinine.
Sent using Jamii Forums mobile app
yani miaka ya quinine imetuathiri wengi sana..facing the same problem.quinine imeniharibia mengi maishani.
japo sikia moja ndo zito but nashindwa kuelewa speech..
nimelipata nkiwa primary taratibu linakuwa worse..
momenta zote nlizopitia.dharau..
my phone is my only friend
nimemeza hayo madawa ya neurotone miezi mitatu kila siku.nkarudi khuzema akaniambia niendelee na doz tena miez mitatu.
now nimeishia kwa muhindi na haering aid..atleast sio kama zile za mchina..hazinipiaumivu hizi.na sauti yake ni clear...tatizo kuongea na simu.
lakini tangu nichomwe hiyo quinine mwaka 2005 mpaka sasa miaka 12 sijaumwa malaria tena.ilhali n nna watu nmaoishi nao wanaumwaga.?? kwanini