Pole sana mkuu Kwa nyakati izo unazopitia, here are the remedies ambazo waweza fanya ukiwa unasubiria surgery mkuu .
1) -vitunguu swaumu vitatu
- mafuta ya olive ( famasi
- nunua dropper ( famasi zipo).
- pamba ( famas.
Menya ivo vitunguu ,,ponda ponda ,,kamua upate juise yake ,,changanya na mafuta ya olive ,, weka kwenye dropper yako , asubuhi na jion matone manne manne.
AU
2,,Kitunguu cha kawaida .
Menya ,, kiponde pponde ,,upate juisi yake ,,tumia dropper weka matone mawili mawili asubuh na jioni !!.
hii itaweza saidia kurekebisha tatizo LA kutosikia vizur hence balance ya mwili pia ...
BTW , Kuandika Nachoka,, So km hutojal ,Ni PM .tuone namna nawweza kukushauri mambo mengi ambayo unaweza kuyafanya na yakabadilisha maisha ya tabu unayopitia.
Njoo PM mkuu ,, we sio wakwanza kuumwa ,,njoo nikuambie mambo yamsingi yakufanya.
Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu nipo mdogo wa miaka kama 9 hivi sasa limekuwa kubwa kiasi kwamba nahitaji attention kubwa sana kuongea na mtu na mara nyingi nikitembea huwa siendi sawa(napepesuka mda mwingine hadi kudondoka)... Hospital nimeenda mara y kwanza muhimbili mwaka 2009 na mama nilichunguzwa nikaambiwa nahitaji hearing device na kwa kuwa gharama ilikuwa kubwa bi mkubwa alishindwa kumudu, by 2012 baba akafanikiwa kuipata hiyo hearing device ambapo niliitumia ila ikawa nikivaa sana masikio yanazidi kuuma, hii ilipelekea kwenda tena Hospital mara hii ikiwa ni CCBRT hapo tukaambiwa twende ekenwa(Hospital flani hivi ipo magomeni) tulivyofika pale na kupimwa solution ilikuwa kutumia kwanza dawa flani hivi zinaitwa neorouns(kama sijakosea) kwa miezi mitatu mfululizo then nikimaliza niendelee kutumia hearing device. Hii haikuniletea nafuu yoyote mpaka namaliza form four na kwenda likizo ifakara kwa babu, nikiwa huko baada ya miezi kadhaa masikio yakawa ya nauma sana, nikapelekwa Hospital na babu (st Francis Hospital ifakara) baada ya kunichunguza wakaniandikia barua ya rufaa kwenda muhimbili surgery department.. Baada ya Kurudi dar na kwenda muhimbili mzee akanambia gharama ni kubwa sana kwa sasa na yeye hana pesa...
Natumai kuna madaktari humu mnipe japo ushauri wa nini cha kufanya maana nimeshindwa kwenda chuo sababu ya masikio na naona kadri siku zinavyokwenda ndivyo yanavyozidi kupoteza uwezo wake..
Natumai mtanisaidia kwa hili Doctors
[/QUOTE]