Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Baada ya kutengeneza hiyo mixture unaitumiaje sasa? Unakunywa au unadondoshea kwenye masikio?Jamani poleni sana ndg zangu...!
Nimesoma mjadala wote, kiukweli nimesononeka sana!
Bado siamini kama kweli tatizo hili halina suluhisho!
Mmenifanya nilichukulie seriously kutafuta na kupata ufumbuzi.
Kuanzia kesho naanza upya kujitibu kwa njia nijuazo mwenyewe.
Kwakuwa wengi wenu mmenena bayana ya kwamba mmefuatilia tiba za hospitali na bado haikusaidia, sasa nimekata shauri sitaenda tena hospitali kwajili ya hili.
Ntafuata ushauri wa mkuu @LUCKYDUBE japo ni mgumu kwelikweli!
Na nitarudi kwenye tiba ya asili kabisa ambayo awali niliifatilia baadae nikakengeuka na kuegemea hospitali.
Kuna hii moja nawapa pengine inaweza kuwa ya msaada mkubwa kwetu; tengeneza mixture ifuatayo;
1)Chukua majani mabichi ya Bangi
2)uwe na mafuta ya kuku anayetaga lau ml10
3)uwe na mafuta ya habbat sauda lau ml10
4)uwe na majani matatu ya mimea fulani jamii ya katani ambayo huota juu ya mti.
5) Uwe na jumba tupu la kono wakubwa. Chukua ambalo utakuta limekaa mdomo umeangalia kwa juu. Usiokote lililo jifunika mdomo ardhini.
senty from my Iphone 7 using jamii forum app