Tatizo la kutumia maneno yasiyo na maana mfano wa Jomoni, Yente, haikatos, Msiew

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za kuelekea sikukuu ya chirstmas wapendwa!.

Leo nipo hapa kuongelea suala la ushamba wa matumizi ya maneno kwa wavulana wa Arusha maana nikisema wanume nitakuwa nmewakosea heshima. hao wavulana wana matumizi mabaya mabaya ya maneno kama wanavyotumia wasichana wa hapa mkoani kwa RC MAKONDA

Nalo ni tatizo la kutumia maneno yasiyo na maana mfano wa hayo maneno yanayotumiwa na watu hao ni Jomoni, Yente, haikatos, Msiew,

hayo ni baadhi ya maneno wanayotumia hao watu na kujiona ni wajanja sana kumbe ni wapuuzi wa kupuuzwa.

toa mchango wako kuhusiana na hao watu hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jomon na msiew io umeeka tu buda au ulisikia kwa mtu mmoja au watatu uka conclude maana hio maneno ya jomon na msiew akisema hata mbele ya wanaume wa chuga lazima wa wamshangae au laabda ulifananisha jomon na lomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yente kwa arusha n neno la kigumu ko apo inategemea na tabia za lugha siunajua kuna misimu na rejesta ko huwezi kujudge kuhusu lugha haraka maana yente hata uku mbeya wahuni wanalitumia so sioni tatizo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno "ko" halina neno mbadala? Yaani palipo na neno "ko" uandike lingine lilete maana sawa? Sijui kwanini hilo neno silipendi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…