kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habari za kuelekea sikukuu ya chirstmas wapendwa!.
Leo nipo hapa kuongelea suala la ushamba wa matumizi ya maneno kwa wavulana wa Arusha maana nikisema wanume nitakuwa nmewakosea heshima. hao wavulana wana matumizi mabaya mabaya ya maneno kama wanavyotumia wasichana wa hapa mkoani kwa RC MAKONDA
Nalo ni tatizo la kutumia maneno yasiyo na maana mfano wa hayo maneno yanayotumiwa na watu hao ni Jomoni, Yente, haikatos, Msiew,
hayo ni baadhi ya maneno wanayotumia hao watu na kujiona ni wajanja sana kumbe ni wapuuzi wa kupuuzwa.
toa mchango wako kuhusiana na hao watu hapo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app