Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mim49 rudi umsadie mdau hawezi reply with quote!umeshawahi kupima macho?hiki kichwa kinauma wakati gani?
Kinauma wkt wte tu,nimeshapima macho nimepewa miwan lkn kwa ss naona km hainisaidii..nateseka sn
Una tatizo kama la mke wangu.Na mimi ninatafta dawa ya hili tatizoSalam kwenu wana jf.jaman mm nina tatizo la kuumwa kichwa sn nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lkn sina ttz ila naumwa sn sn kichwa..km kuna dawa naomba mnijulishe..ushaur tafadhal.
Kinauma wkt wte tu,nimeshapima macho nimepewa miwan lkn kwa ss naona km hainisaidii..nateseka sn
Kichwa cha mkeo kinaumaje?Anaweza kuwa na migrene!!Chunguza kinauma wakati gani mfano kukiwa na mwanga mkali,au akila spicy food au stress?.Ajaribu kuepuka factors zinazosababisha kichwa kuanza kuuma .Anaweza kutumia pia Imigran/sumatriptan tablets.Una tatizo kama la mke wangu.Na mimi ninatafta dawa ya hili tatizo
Salam kwenu wana jf.jaman mm nina tatizo la kuumwa kichwa sn nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lkn sina ttz ila naumwa sn sn kichwa..km kuna dawa naomba mnijulishe..ushaur tafadhal.
Usitumie sana panadol utaharibu figo zako.tafuta mafuta ya samli kisha mwagia usawa wa juu wa kichwa chako (ifike kwenye ngozi kama una nywele nyingi) utulie kama nusu saa fanya hivyo asubuhi na jioni siku 5 tatizo litaisha.
Salam kwenu wana jf.jaman mm nina tatizo la kuumwa kichwa sn nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lkn sina ttz ila naumwa sn sn kichwa..km kuna dawa naomba mnijulishe..ushaur tafadhal.
nani kakwambia panadol inaharibu figo?
Kaniambia nani.haya wewe kula tu hizo panadol