punguza kula na jamba inapobidi usijibane
punguza kula na jamba inapobidi usijibane
Hahaha, wewe sasa inabidi uende haja kubwa hicho ni chakula cha jana. Indication kwamba process is done so toilet ndio inahitajikaha ha ha hii ndio dawa? maana hata mimi hapa sasa hivi linanguruma sana na sijala chochote
ha ha ha hii ndio dawa? maana hata mimi hapa sasa hivi linanguruma sana na sijala chochote
sasa utajamba kwenye kikao au darasani? Unajua sio kila wakati unakuwa katika position ya kutoa hiyo gas.... Yan sijui nifanyeje?
Soma hii link kuna wenye matatizo kama yako, may be it will help How do I stop my stomach from making noises - Ask Community
vile vile google u can easily get various solution. Lakini as I said kujamba is one of the solution
nimesoma hiyo link kwanza jaribu kutokula vyakula vya mafuta{ila sina uhakika}ila kuna mmoja ame comment kuwa,solution ni kula taratibu na usijaze chakula mdomoni na ukitafune mpaka kisagike vya kutosha,na usinye maji katikati ya mlo isipokuwa maji ya uvuguvugu{mmh hii ngumu}.unapokula haraka haraka na bila kutafuna vizuri na bila chakula kusagika vya kutosha,inasababisha chakula tumboni kifanye kazi ya ziada kwenye mfumo wa kusaga chakula ulichokula.maybe hiyo ndio hali ya kusababisha mngurumo wa tumbo.sijui kama ni kweli maybe ma dokta humu watasaidiayah.... Thanks ila huko net lugha inakuwa complex sana ndo maana natafuta mtaalamu mswahili mwenzangu