Wandugu habari!
Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa!
Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa hospital.
Natanguliza shukrani zangu!