Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Ila acheni utani jamani ukilewa kidogo afu ukasex vinanoga jamani laah!!!!!!!!!
 
Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada

mbona dawa rahisi sn, "ni kuacha kunywa pombe tu"
 
Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada

Kula ndizi mbivu kama tano hivi.
 
Ukijaribu kula majani chai kama jamaa anavyoshauri hapo juu utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja!! Maana utatapika haswa,na hutataka tena hilo denda,vilevile utaacha pombe tokea siku hiyo,jaribu mkuu,au umeshaacha,maana hii ni 2015
 
Dawa ya kuondoa harufu ya pombe ni kuachwa kunywa.
 
Mkuu, ulifanikiwa kumpata huyo mtaalam wa Mansoor Daya?!
Dah mkuu hii thread niya siku nyingi sana tena sana like 6 years ago
Any ways kujibu swali lako, nilienda kwa huyu mtaalam enzi hizoila nilitoka nduki coz dawa nakumbuka zilikua very expensive yaani ghali sana. So sijamchukulia huyo mdogo wangu hiyo dawa
 
What was the cost, if you can remember! Samahani kwa usumbufu lakini.
 
What was the cost, if you can remember! Samahani kwa usumbufu lakini.
I cant seem to rmber well lkn ilikua in the region of laki tatu nne then nikitu cha maisha utakua unanunua na kutumia
 
Naomba kujua kuhusu dawa nzuri ya kutumia kwa mdomo kutoa harufu maana nasumbuliwa na tatizo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…