Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Naweza nikakusaidia tiba ndugu yangu upambane na hiyo hali isababishwayo na uwepo wa bacteria. Piga mswaki kama kawaida, alafu ukimaliza nyunyuzia baking powder kwenye mswaki na upige tena mswaki. Utakuja kunipa mrejesho hapa.
Shukrani Mkuu!
Naomba utusaidie hilo swali la Mdau hapo juu kuwa ninatakiwa kufanya hivyo kwa muda gani?
 
Kama unapiga mswaki na harufu inarudi baada ya mda mfupi hapo tatizo lipo tumboni jicheki kama unapata choo vizuri na kwa wakati
kama una constipation flash tumbo lako
 
Nilikuwa nina tatizo kama hilo, nikatumia dawa nyingi sana. Ikafika kipindi nikawa natumia big g ili kuondoa harufu, kumbe tatizo lilikuwa ni dogo sana.
Nilikuwa nina tabia ya kumega vingozi vilaini laini ndani ya mdomo, nilipoacha kuvimega mega kwa kutumia meno ndo hiyo hali ikakoma mpaka sasa.
Pole sana Mkuu!
 
Unaliflsh je sasa kaka angu
 
Ndikwega kabla ya kujaribu baking powder naomba unisikilize.

Nijibu kwanza. Ulishawahi kumwona DR. Bingwa wa sikio, pua na Koo ? Wanaitwa Dr. Wa E.N.T kama bado ni vizuri uanzie kwa daktari. Akishindwa ndo uje upate second opinion hapa.

Nasisitiza mtafute Dr. Bingwa wa E.N.T ila sikushauri uende magomeni kwa yule Dr. Mmasai. Yupo kibiashara zaidi.

Kuna vitu vingi ambavyo huchangia kinywa kutoa harufu mbaya. Aidha uzembe katika kusafisha meno, au bacteria kwenye kinywa au koo au ndani ya pua. Na pengine hiyo harufu inatokea tumboni.

Watu wengi ambao wanasafisha meno vizuri na bado harufu mbaya inatoka wengi hiyo harufu hutoka kwenye koo. Kuna vifuko kwenye koo ambavyo hutunza masalia ya vipande vya chakula na wakati mwingine ukikohoa huwa vinatoka na ukinusa vinatoa harufu Kali sana kama choo.

Chakufanya-. Dr. Anaweza kukupa antibiotic ili kujua tatizo liko wapi na kama tatizo halitoki basi anacheck kwenye hivo vifuko na ikiwezekana utafanyiwa operation ya kuondoa tonsils na huo utakuwa mwisho wa kutoa harufu mbaya.

Dr. Lazima ajiridishe kwamba hiyo harufu mbaya haitoki kwenye meno au pua.

Naandika kwenye simu kama nitakuwa sijaeleweka nisamehe.
 
Jarjibu ukiwa unapiga mswaki usugue na ulimi usisugue meno tu
Nafanya hivyoo mkuu lakini bado kunakuwa na tatizo. Mfano huwa napiga mswaki kila Usiku kabla ya kulala ila asubuhi ama usiku huo huo nikistuka nakutaka kamdomo kanatoa harufu ambayo si nzuri kwakweli.
 
Kama unapiga mswaki na harufu inarudi baada ya mda mfupi hapo tatizo lipo tumboni jicheki kama unapata choo vizuri na kwa wakati
kama una constipation flash tumbo lako
Nitaflash kwakutumia dawa gani mkuu?
 
Nilikuwa nina tatizo kama hilo, nikatumia dawa nyingi sana. Ikafika kipindi nikawa natumia big g ili kuondoa harufu, kumbe tatizo lilikuwa ni dogo sana.
Nilikuwa nina tabia ya kumega vingozi vilaini laini ndani ya mdomo, nilipoacha kuvimega mega kwa kutumia meno ndo hiyo hali ikakoma mpaka sasa.
Pole sana Mkuu!
Shukrani na Ahsante! Ningeomba ufafanuzi hapo kwenye kumega vingozi mdomoni, yaani kivipi?
 
Kwa hyo ukichovya kwenye mswaki unasugua meno kwa dakika ngap? Na je ni kila siku au inafika muda unaacha kutumia

Shukrani Mkuu!
Naomba utusaidie hilo swali la Mdau hapo juu kuwa ninatakiwa kufanya hivyo kwa muda gani?
Unaswaki kwa muda ambao unatumia kila siku kuswaki meno yako. Na utaacha punde pale utakapoona hali imebadilika. Haitochukua hata wiki. NB: Hii ni tiba kwa harufu mbaya isababishwayo na bacteria wa kinywa.
 
Ndikwega kabla ya kujaribu baking powder naomba unisikilize.

Nijibu kwanza. Ulishawahi kumwona DR. Bingwa wa sikio, pua na Koo ? Wanaitwa Dr. Wa E.N.T kama bado ni vizuri uanzie kwa daktari. Akishindwa ndo uje upate second opinion hapa.

Nasisitiza mtafute Dr. Bingwa wa E.N.T ila sikushauri uende magomeni kwa yule Dr. Mmasai. Yupo kibiashara zaidi.

Kuna vitu vingi ambavyo huchangia kinywa kutoa harufu mbaya. Aidha uzembe katika kusafisha meno, au bacteria kwenye kinywa au koo au ndani ya pua. Na pengine hiyo harufu inatokea tumboni.

Watu wengi ambao wanasafisha meno vizuri na bado harufu mbaya inatoka wengi hiyo harufu hutoka kwenye koo. Kuna vifuko kwenye koo ambavyo hutunza masalia ya vipande vya chakula na wakati mwingine ukikohoa huwa vinatoka na ukinusa vinatoa harufu Kali sana kama choo.

Chakufanya-. Dr. Anaweza kukupa antibiotic ili kujua tatizo liko wapi na kama tatizo halitoki basi anacheck kwenye hivo vifuko na ikiwezekana utafanyiwa operation ya kuondoa tonsils na huo utakuwa mwisho wa kutoa harufu mbaya.

Dr. Lazima ajiridishe kwamba hiyo harufu mbaya haitoki kwenye meno au pua.

Naandika kwenye simu kama nitakuwa sijaeleweka nisamehe.
Juhakalulujuha
Ahsante saana mkuu.
Kiukweli sijawahi kwenda kumuona mtaalam wa mambo haya.
Pili umeongelea TONSILS, yawezeka kukawa na ukweli. Unajua kuna wakati nikipiga mwayo kwa nguvu huyu vinatoka hivyo vijamaa nadhani ndiyo Tonsils kwenye Magego kushoto na kulia na vinauma saana, wakati mwingine nalazimika kuvirejesha kwa kuvisukuma. Vipo kama vya mviringo hivi, kama goroli vile.
 
Unaswaki kwa muda ambao unatumia kila siku kuswaki meno yako. Na utaacha punde pale utakapoona hali imebadilika. Haitochukua hata wiki. NB: Hii ni tiba kwa harufu mbaya isababishwayo na bacteria wa kinywa.
Ahsante saana kwa ushauri.
 
Naweza nikakusaidia tiba ndugu yangu upambane na hiyo hali isababishwayo na uwepo wa bacteria. Piga mswaki kama kawaida, alafu ukimaliza nyunyuzia baking powder kwenye mswaki na upige tena mswaki. Utakuja kunipa mrejesho hapa.

Naomba kutoa angalizo.Baking Powder ni nzuri kwa usafi wa kinywa na kung'arisha meno.Ila ukiitumia kila siku kama dawa ya mswaki itafanya meno yako yawe dhaifu yatoboke.
Kwa kufanya meno yawe meupe unaweza kusugua meno kwa kutumia baking powder mara moja kwa mwezi.
Kwa harufu mbaya ya kinywa changanya kijiko kimoja cha chai cha baking powder kwa lita moja ya maji na usukutue mara tatu kwa siku.
Pia unaweza kuchanganya chumvi vijiko viwili vya chai katika maji ya lita moja na kusukutua mara tatu kwa siku.
Aidha:
1.Pendelea kupiga mswaki na dawa walau mara mbili kwa siku
2.Sugua ulimi wakati wa kuswaki.
3.Kunywa maji mengi
4.Kama una meno yametoboka basi kazibe au ng'oa.
5.Tumia dental flosss tape kuondoa mabaki ya vyakula kati ya meno.
 
Last edited:
Nafanya hivyoo mkuu lakini bado kunakuwa na tatizo. Mfano huwa napiga mswaki kila Usiku kabla ya kulala ila asubuhi ama usiku huo huo nikistuka nakutaka kamdomo kanatoa harufu ambayo si nzuri kwakweli.
Baada ya kupiga mswaki, tumia mouth wash mfano ya listerin au hata med oral.
 
Wadau,

Naombeni ufafanuzi wa tatizo hili la kinywa kutoa harufu mbaya.Yaani muda ukitoka kusugua ama kuswaki tu ndiyo hakitoi harufu ila ukitulia kidogo labda masaa kadhaa harufu mbaya inarudia palepale hata kama hujala kitu!

Naombeni kujua tatizo ni nini na suluhisho lake.

Ahsanteni.
Achana na dawa na madukani. dawa ni hii: fatuta asali uwe unaitumia km dawa ya meno kusukutua meno yako asubuhi na jioni. nakuhakikishia utanitafuta mwenyewe
 
Juhakalulujuha
Ahsante saana mkuu.
Kiukweli sijawahi kwenda kumuona mtaalam wa mambo haya.
Pili umeongelea TONSILS, yawezeka kukawa na ukweli. Unajua kuna wakati nikipiga mwayo kwa nguvu huyu vinatoka hivyo vijamaa nadhani ndiyo Tonsils kwenye Magego kushoto na kulia na vinauma saana, wakati mwingine nalazimika kuvirejesha kwa kuvisukuma. Vipo kama vya mviringo hivi, kama goroli vile.

Kaka kuna tofauti kubwa sana kus
hauriwa na mtu ambaye hajawahi pata tatizo kama lako na ambaye ameshapata tatizo. Naongea through experience.

Kama upo Dar kuna professor mmoja bingwa wa E.N.T anaitwa prof. Moshi wa muhimbili. Lakini huwa anapatikana pia Agha Khan mida jioni. Ni mzuri japo madaktari wa E.N.T ni wengi.

Japo sio daktari hiyo ni infection kwenye tonsils na zinahifadhi tonsils stones. Mara nyingi dawa yake ni kutolewa tonsils. Ila sasa maumivu yake sio haba. Mpaka utapungua kwa mwezi mmoja. Ila ukipona utaenda kumla denda mke wako kama umeoa. Na confidence itaongezeka.

Madaktari wengi sorry to say this wanajua harufu mbaya ni kutofanya usafi wa kinywa. It is more than that.
 
Naomba kutoa angalizo.Baking Powder ni nzuri kwa usafi wa kinywa na kung'arisha meno.Ila ukiitumia kila siku kama dawa ya mswaki itafanya meno yako yawe dhaifu yatoboke.
Kwa kufanya meno yawe meupe unaweza kusugua meno kwa kutumia baking powder mara moja kwa mwezi.
Kwa harufu mbaya ya kinywa changanya kijiko kimoja cha chai cha baking powder kwa lita moja ya maji na usukutue mara tatu kwa siku.
Pia unaweza kuchanganya chumvi vijiko viwili vya chai katika maji ya lita moja na kusukutua mara tatu kwa siku.
Aidha:
1.Pendelea kupiga mswaki na dawa walau mara mbili kwa siku
2.Sugua ulimi wakati wa kuswaki.
3.Kunywa maji mengi
4.Kama una meno yametoboka basi kazibe au ng'oa.
5.Tumia dental flosss tape kuondoa mabaki ya vyakula kati ya meno.
Nashukuru nitafanya hivyo
 
Kaka kuna tofauti kubwa sana kus
hauriwa na mtu ambaye hajawahi pata tatizo kama lako na ambaye ameshapata tatizo. Naongea through experience.

Kama upo Dar kuna professor mmoja bingwa wa E.N.T anaitwa prof. Moshi wa muhimbili. Lakini huwa anapatikana pia Agha Khan mida jioni. Ni mzuri japo madaktari wa E.N.T ni wengi.

Japo sio daktari hiyo ni infection kwenye tonsils na zinahifadhi tonsils stones. Mara nyingi dawa yake ni kutolewa tonsils. Ila sasa maumivu yake sio haba. Mpaka utapungua kwa mwezi mmoja. Ila ukipona utaenda kumla denda mke wako kama umeoa. Na confidence itaongezeka.

Madaktari wengi sorry to say this wanajua harufu mbaya ni kutofanya usafi wa kinywa. It is more than that.
Nimekupata mkuu.
 
Back
Top Bottom