Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

bad-breath-350.jpg
 
Hivi mtu unaweza kujijua kama unatoa harufu mbaya mdomoni? Kama kuna njia ya kuweza kujichunguza ili kujua naomba mnijuze...
 
Tumia "Dental Floss" mara kwa mara. Angalau mara 3 kila wiki vinginevyo mswaki huwa peke yake haufiki katikati ya meno ambako ndo vipande vipande vya vyakula huwa vinaoza na kutoa harufu kali.

"Regular dental flossing" ni muhimu sana.
 
Ushauri ninaokupa ule matunda yafuatayo
NDIZI MBIVU
TIKITI MAJI
MACHUNGWA
PAPAI
JUICE YA MIWA AU MIWA
KUNYWA MAJI
kila siku asubuhi kabla ya kupiga mswaki
kula ndizi mbivu mbili kisha tulia kidogo nusu saa ndipo upige mswaki
 
Back
Top Bottom