Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Noted mkuu. Tena ninayo ya kutosha!Achana na dawa na madukani. dawa ni hii: fatuta asali uwe unaitumia km dawa ya meno kusukutua meno yako asubuhi na jioni. nakuhakikishia utanitafuta mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noted mkuu. Tena ninayo ya kutosha!Achana na dawa na madukani. dawa ni hii: fatuta asali uwe unaitumia km dawa ya meno kusukutua meno yako asubuhi na jioni. nakuhakikishia utanitafuta mwenyewe
Ni changamoto katika mahusiano.
HakikaNi changamoto katika mahusiano.
Anza leo. kesho kutwa tuu utanipigia saruti kwa hiyo dawa iko poa sanaNoted mkuu. Tena ninayo ya kutosha!
Hivi mtu unaweza kujijua kama unatoa harufu mbaya mdomoni? Kama kuna njia ya kuweza kujichunguza ili kujua naomba mnijuze...
Tusubiri mkuu, wajuzi waje kutupa majibuAfadhali nimepata na wenzangu wa kuuliza suali hili
We kiganja cha mkono kwenye mdomo, pumua hapo then nusaHivi mtu unaweza kujijua kama unatoa harufu mbaya mdomoni? Kama kuna njia ya kuweza kujichunguza ili kujua naomba mnijuze...