Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Teh teh teh...
Wewe ni daktari wa ng'ombe au daktari wa wanyama?
Au ni mfugaji?
Umeniacha hoi wewe.

Mimi huwa napenda sana kuchunguza.

Naweza kupoteza muda kuchunguza kitu kufikia mtu mwingine akaniona kama napoteza muda, kumbe hajui mimi ninachokitaka/ninachokitafuta.

Niko hivyo tokea mdogo napenda sana kuchunguzachunguza/kukagua.

Au kujaribu kitu ambacho sijawahi kukijaribu ili kufahamu mwisho itakuaje/matokeo yake
 
Kuna jamaa mmoja nimemuuliza ameniambia kwamba kusafisha meno kwa sasa pamoja na kuziba ni shilingi laki sita.
 
Konda hapana Kuna mshikaji Wang Hilo tatizo lake kubwa so ntamshauri aendeco
 
Acha wizi wewe Tapeli: unajitangaza kwamba unauza notisi kwa njia ya email. Na unataka watu wawasiliane na wewe kupitia whatsApp na SMS, na hupokei simu. Unataka utumiwe hela kwa njia ya simu kupitia namba za mkononi. Tumeshashtuka.


Kuweni makini na huyu tapeli, ni mwizi. SOMA NIPASHE: "27/02/2016 pg 25, MAJIRA: "27/02/2016 pg 8, TANZANIA DAIMA: "27/02/2016 pg 18
 
Note:You have to consult ENT Doctor Specialists because some of Bad Breath can be a symptoms of deases such as tonsil,GERD and a like.
 
Note:You have to consult ENT Doctor Specialists because some of Bad Breath can be a symptoms of deases such as tonsil,GERD and a like.
 
Uzi wa faida sana huu. Bado naperuz, na kufanya majaribio maana nilizoea dawa za kusukutua tu Listerine baada ya kuswaki. Nimejaribu Tangawizi, Pilipili Manga na Chumvi = Safi - inaacha kinywa safi kama Listerine. Sasa nitanza kujaribu Asali, then Baking Pawder, then...... Endeleeni.
 
Uzi wa faida sana huu. Bado naperuz, na kufanya majaribio maana nilizoea dawa za kusukutua tu Listerine baada ya kuswaki. Nimejaribu Tangawizi, Pilipili Manga na Chumvi = Safi - inaacha kinywa safi kama Listerine. Sasa nitanza kujaribu Asali, then Baking Pawder, then...... Endeleeni.
Muone daktari wa kinywa pua na koo ambaye ni mtaalamu kwenye hayo mambo na sio kila daktari anawazewa we nenda hospitali za wilaya au mkoa au rufaa au private kubwa ulizia daktari bingwa wa ENT au masikio pua na kinywa na koo.
 
GERD ni ugonjwa gani?
Gastroesophageal reflux disease, or GERD, is a digestive disorder that affects the lower esophageal sphincter (LES), the ring of muscle between the esophagus and stomach.Pia inachangia bad breath but uwezi kujaji mpaka umwone daktari bingwa wa Masikio,Pua na Koo wanaitwa kwa kifupi ENT Doctor ni mabingwa na ukimwona atajua arufu mbaya inasababishwa na nini kwa sababu arufu mbaya ni dalili ya ugongwa mpya au umeshakuwa chronic lakini ujatibiwa.
 
Kwa kweli nampenda na ana sifa zote ninazozitaka,ila tatizo ni moja tu kwa huyu msichana wangu,yani huyu msichana ananuka sana mdomo hata sijui kwa nini,sijui hapigi mswakii? Mbaya zaidi akija kwangu ili nimpe mautamu huwa anataka nimnyonye mate a.k.a denda,sasa najikuta napata tabu sana kwa namna anavonuka mdomo,unakuta naweka pipi harafu nampa kijanja janja ili aondoe harufu ila anakuwa anakataa.

Basi kila nikikumbuka ile harufu yake ya kinywa nashindwa kupata hamu,jogoo linalegea kwa kukosa ashiki. Ila mtoto ni mzuri sana hata nikiongozana nae nauza nyago balaa,watu wanakodoa mimacho kichizi na anajua kunipa raha ila tatizo ni hilo la harufu ya kinywa tu, halafu kumwambia naogopa sana mana si mnajua jinsi ya kumwambia mtu tatizo kama hilo ni vigumu sana.

Ushauri wenu tafadhali.
 
1] Aanze ku-floss. Watanzania wengi hawajui hata flossing ni nini.

2] Akiwa anapiga mswaki awe pia anasugua kuta na paa la mdomo.

3] Aanze kukwangua ulimi si chini ya mara mbili kwa siku. Kwenye hili atumie kikwangua ulimi.

4] Anatumia mouthwash? Kama hatumii na aanze. Ila asitumie zile za bei rahisi maana ubora wake ni wa chini sana.

5] Kama ni mnunaji mwambie aache mara moja maana kununa kunaendana na kufunga mdomo. Kufunga mdomo kunasaidia uzalishaji wa bakteria wanaosababisha harufu mbaya kinywani.

6] Ahakikishe kinywa chake kinapata oksijeni ya kutosha - kwa kunywa maji mara kwa mara.
 
Ili ujue shda ni nini akija kwako kabla hujaanza rukaruka nae...Jifanye unajisikia kuoga na unaomba kampani yake bafuni akikubali jifanye ni desturi yako kabisa kabla hujaoga lazima upige mswaki so mlazimishe na yeye apige mswaki( uwe ushamwandalia mswaki wake) then baada ya hapo sasa utajua ishu ni mswaki ama ni ile watu husema kifuniko cha utombo mkubwa kimetoboka ndiyo maana watu wengine hunuka mdomo na huwa ni harafu inatoka tumboni kabisa ila inatibika hata kama ni hiyo...
 
Nyani ngabu ametoa maelekezo jinsi ya kufanya usafi wa kinywa, lakn hajakwambia namna ya ku approach hiyo kitu.

Ninkazi sana kumwambia mtu mzima ananuka mdomo coz ninafsi unakuta hajitambui na anaona kama kawa tu.

Sasa fanya hivi , fanya kama utani huku unajichekelesha kwa furaha yaani full mzuka, mwambie baby/ sweet leo hujapiga mswaki na kwa kuwa atakuwa amepiga lazima atakwambia mbona nimepiga, basi utaanzia hapo hapo kwamba labda baby hujapiga vizuri mpe ABCD za kupiga vzr maana mpaka hapo atakuwa anakusikiliza bila kujisikia vibaya na ni matumaini yangu kabs atatekeleza

Harufu mbaya ya mdomo inakata stimu kabisa hata demu angekuwa mzuri vipi.
 
Back
Top Bottom