HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Umeniacha hoi wewe.Teh teh teh...
Wewe ni daktari wa ng'ombe au daktari wa wanyama?
Au ni mfugaji?
Mimi huwa napenda sana kuchunguza.
Naweza kupoteza muda kuchunguza kitu kufikia mtu mwingine akaniona kama napoteza muda, kumbe hajui mimi ninachokitaka/ninachokitafuta.
Niko hivyo tokea mdogo napenda sana kuchunguzachunguza/kukagua.
Au kujaribu kitu ambacho sijawahi kukijaribu ili kufahamu mwisho itakuaje/matokeo yake