Umeniacha hoi wewe.Teh teh teh...
Wewe ni daktari wa ng'ombe au daktari wa wanyama?
Au ni mfugaji?
Una mapengo mura?Duuu Ahsanteni
Muone daktari wa kinywa pua na koo ambaye ni mtaalamu kwenye hayo mambo na sio kila daktari anawazewa we nenda hospitali za wilaya au mkoa au rufaa au private kubwa ulizia daktari bingwa wa ENT au masikio pua na kinywa na koo.Uzi wa faida sana huu. Bado naperuz, na kufanya majaribio maana nilizoea dawa za kusukutua tu Listerine baada ya kuswaki. Nimejaribu Tangawizi, Pilipili Manga na Chumvi = Safi - inaacha kinywa safi kama Listerine. Sasa nitanza kujaribu Asali, then Baking Pawder, then...... Endeleeni.
GERD ni ugonjwa gani?Note:You have to consult ENT Doctor Specialists because some of Bad Breath can be a symptoms of deases such as tonsil,GERD and a like.
Gastroesophageal reflux disease, or GERD, is a digestive disorder that affects the lower esophageal sphincter (LES), the ring of muscle between the esophagus and stomach.Pia inachangia bad breath but uwezi kujaji mpaka umwone daktari bingwa wa Masikio,Pua na Koo wanaitwa kwa kifupi ENT Doctor ni mabingwa na ukimwona atajua arufu mbaya inasababishwa na nini kwa sababu arufu mbaya ni dalili ya ugongwa mpya au umeshakuwa chronic lakini ujatibiwa.GERD ni ugonjwa gani?
Lowassa alisema ELIMU ELIMU ELIMU..unaeza kuta ni mtu mzima hata c dentHivi shule zimeanza kufungwa kwa ajili ya pasaka?