Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri


Toa ushauri wa tiba siyo kelele hizi.
 
Hahah......nimecheka sana
 
Nishawahi Kuwa Na Manzi Wa Hivi, Yaani Kila Nikitaka Kupiga Nae Story Nanunua PK Mbili Najifanya Na Share Nae Kwa Upendo Kumbe Naepuka Harufu, Mdomo Kama Kafa Paka, Halafu Yeye Hajijui Kama Yaani
 
Na wale wengine wanaotema mvua huku wanaongea full mate + kunuka mdomo yani utadhani kuna ka toilet pembenii
 
Mtu ambaye hapati haja kubwa kama inavyotakiwa kitaalamu mara nyingi huwa na hili tatizo, akihema utafkiri panya kafia mdomoni hata apige mswaki mara mia kwa siku bado hali itakuwa hiyo hiyo.

Usiombe sasa ukutane na dada mwenye hilo tatizo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wee jamaa balaaaaa kwelikweli
 
atakua anapiga komoni[emoji12] matejoo
 
Nishawahi Kuwa Na Manzi Wa Hivi, Yaani Kila Nikitaka Kupiga Nae Story Nanunua PK Mbili Najifanya Na Share Nae Kwa Upendo Kumbe Naepuka Harufu, Mdomo Kama Kafa Paka, Alafu Yeye Hajijui Kama Yaani
Msaidie ajue kwamba ananuka mdomo ili atafute dawa.
 
Watanzania wengi tuna tatizo la kutofahamu umuhimu wa kunywa maji,binafsi naamini % kubwa ya hilo tatizo la hewa chafu kinywani linasababishwa na mfumo wa ndani ya matumbo kama mhanga anaswaki vizuri daily, tujenge utamaduni wa kunywa maji salama.
 
...Ni vema kumwona Dr wa kinywa na meno kabla ya hatua hizi... kufanya flossing,kusafisha meno usiku kabla ya kulala na asubuhi pia kutumia mouth wash yenye flouride....anyway hizo ni tips sio prescription
 
Hivi ni vyema kupiga mswaki mara 2 kwa siku,nauliza wakati au muda gani zaid ndo unafaa kwa wakati wa jion ni kabla ya kula chakula cha jion au muda wa kulala? Majibu tafadhali ili watu,tutunze vinywa vyetu vema.
 
Pia huambukiza maana hewa ile inabadilisha hata ladha mate.Kila mtu hunuka mdomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…