Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Usikute jamaa naye alikuwa anakuvilia tu. Uzuri ni kwamba ukinuka mdomo unakuwa hujijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili tatizo lipo jinsia zote mbili,huwa napata shida sana nikikutana na watu wenye hili tatizo.hii mbaya sana usiombe kunuka mdomo aisee,me huwa napiga mswaki mara 2 kwa siku na huwa napiga kila kona ya kinywa hadi kwenye ulimi napitisha mswaki ila nakuwa mwangalifu nisijichubue(nikila chakula kinachobakiza harufu mdomoni lazma nipige mswaki japo harakaharaka),natumia almost dkk 10-15 kupiga mswaki na mara nyingi huwa napenda kukagua harufu ya kinywa kwa kuweka kiganja mbele ya mdomo na pua kisha natoa hewa kwa nguvu kupitia mdomoni.tujali afya ya kinywa jamani kunuka mdomo aibu..kuna mtu me huwa namkwepa kwa sababu ya harufu mbaya inayotoka kinywani mwake.kama nikipata manzi ananuka mdomo asee haraka sana nitatafuta njia nzuri mpaka nimwambie akamwone daktari akimaindi basi😀 la sivyo napiga chini.
Pointi nzuri. Wengi hawajijui ila kuwasema watu wengine wapo vizuriIla pia unawezq toa harufu hiyo bila wewe kujua. So yaweza kuwa hata wew pia unatoa ila wenzako wanakuchukulia tu.
Hahah......nimecheka sanaKuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki.
Yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine, nashukuru nimefika nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee.
Jamani tupigwe mswaki na kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno.
fanya yako kijana,kama hujaelewa tembea na bwana sio kuquotequote tu bila msingi,unapoteza muda.Toa ushauri wa tiba siyo kelele hizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu ambaye hapati haja kubwa kama inavyotakiwa kitaalamu mara nyingi huwa na hili tatizo, akihema utafkiri panya kafia mdomoni hata apige mswaki mara mia kwa siku bado hali itakuwa hiyo hiyo.
Usiombe sasa ukutane na dada mwenye hilo tatizo.
atakua anapiga komoni[emoji12] matejooKuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki.
Yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine, nashukuru nimefika nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee.
Jamani tupigwe mswaki na kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno.
WasukumaNa wale wengine wanaotema mvua huku wanaongea full mate + kunuka mdomo yani utadhani kuna ka toilet pembenii
Msaidie ajue kwamba ananuka mdomo ili atafute dawa.Nishawahi Kuwa Na Manzi Wa Hivi, Yaani Kila Nikitaka Kupiga Nae Story Nanunua PK Mbili Najifanya Na Share Nae Kwa Upendo Kumbe Naepuka Harufu, Mdomo Kama Kafa Paka, Alafu Yeye Hajijui Kama Yaani