Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Wahaya na usmart wao woote lkn wananuka midomo. Yaani sijui wanaingiaje chumvini kwa wake zaoo
Nia yangu sio kukashifu ila Wahaya na Wasukuma sijui kwanini wananuka sana mdomo

Au sababu ya ulaji wa senene?
 
Nakumbuka nilisitisha zoezi la mtongozo kwa mabinti wawili, M na J.. ni bora mtoto wa kiume unuke mdomo lkn sio wa kike
 
Mkuu vipi ulipata dawa?
 
Tatizo kuubwa linalowakabili watu wengi ni mfuko wa usagaji chakula kuwa na kasoro,pia unywaji wa maji usio zingatia masharti....muda hautoshi,Nike kwenye ufumbuzi; kula tango moja pamoja na maganda yake kila siku 1. Baada ya nusu saa hutonuka kunywa Hadi Massa 12. Usikose kuniletea mrejesho. Asanteni.
 
Halafu hao watu wanaonuka midomo huwa wanapenda kuongea. Yani kwa mastori ni balaa.

Ni sawa na watu wenye mapengo kwa kupenda kucheka noma [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashukuru kwa kuleta huu uzi hapa mizani na nimefarijika sana kuwa umeletwa na mwanadada kwa sababu kuna utafiti ninafanya bado sijaukamilisha ila nilichobaini ni kwamba Wanawake wana uwezo mkubwa wa kuhisi harufu kuliko wanaume.
Back to point ,bkunuka mdomo kinaweza kutokana na sababu nyingi mno ikiwemo usafi duni wa kinywa,mfano Luna watu wanasafusha vizuri sana meno yap ila wanasahau fizi na ulimi
Aina ya vyakula tunavyokula,mmengenyi wake na gesi tumboni.Kuna wakati hewa chafu inayosikika mdomoni asili yake ni tumboni.
Kuna watu wenye meno mabovu na fizi zilizoharibika n.k haya huchagiza harufu ya kinywa na kuifanya kutokuwa nzuri.
Kupunguza tatizo hili zingatia usafi muruwa wa kinywa,fuatilia maelekezo ya wataalamu wa afya ya kinywa na pia pendelea sana kula matunda maji safi na salama mara kwa mara pamoja na mbogamboga.
Epuka kula kea wingi vyakula vyenye sukari nyingi,vyakula vinavyoongeza gesi tumboni mfano protini.
 
Mtu ambaye hapati haja kubwa kama inavyotakiwa kitaalamu mara nyingi huwa na hili tatizo, akihema utafkiri panya kafia mdomoni hata apige mswaki mara mia kwa siku bado hali itakuwa hiyo hiyo.

Usiombe sasa ukutane na dada mwenye hilo tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati panya kafia mdomoni dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine watu hawa huwa na maambukizi kakika mfumo wa kinywa na hewa.Hata akiishi kwenye kiwanda cha dawa za kupigia mswaki bado shida itabaki palepale.Cha msingi ni tiba.
...hata akiishi kwenye kiwanda cha dawa za kupiga mswaki.

Umenikumbusha jamaa mmoja, tulikuwa tukipiganaye kibarua sehemu fulani; alikuwa anatoa harufu mdomoni balaa! Kwenye vikao ilikuwa tunakwepa kukaanaye karibu maana adha utakayopata si mchezo kama utakaa close naye. Jamaa alikuwa smart na yuko njema ktk maongezi, tatizo lilikuwa harufu!

Alafu alikuwa mbabe na utaanzaje sasa kumwambia hayuko njema kinywani. Jinsi alivyo smart nadhani alihangaika sana kutafuta tiba na hakufanikiwa.
 
Asante, nina tatizo hilo nitazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…