The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yah mm nataka uje utoe mrejesho hapa, mana kuna watu nimewapa dawa wamepona wakapotelea mbali.Asante sana mkuu, kuhusu kukuona ondoa shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah mm nataka uje utoe mrejesho hapa, mana kuna watu nimewapa dawa wamepona wakapotelea mbali.Asante sana mkuu, kuhusu kukuona ondoa shaka.
SawaYah mm nataka uje utoe mrejesho hapa, mana kuna watu nimewapa dawa wamepona wakapotelea mbali.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mmoja wa niliowapa dawa huyu apa, tatizo hawaleti mrejesho huku wananifata private, wangeleta huku ili tusaidie wenye shidaView attachment 1459306View attachment 1459307View attachment 1459309View attachment 1459310View attachment 1459312
Nia yangu sio kukashifu ila Wahaya na Wasukuma sijui kwanini wananuka sana mdomoWahaya na usmart wao woote lkn wananuka midomo. Yaani sijui wanaingiaje chumvini kwa wake zaoo
Hilo ni gonjwa mkuu sio uchafu hata wewe waweza uguaWahaya na usmart wao woote lkn wananuka midomo. Yaani sijui wanaingiaje chumvini kwa wake zaoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na vikwapa ni balaaa yaan na hilo ni tatizo kubwa ,unakuta mdada kavaa vizurii lakin kwapa linatema,na deodorant 5000 nivea
Mkuu vipi ulipata dawa?Habarini.
jamani mwenzenu nina tatizo hilo la kutoa harufu mbaya kinywani kusema kweli linaninyima raha kabisa hapa majuzi nimemaliza kutumia mouth wash moja inaitwa MEDI-ORAL nilifikiri ingemaliza tatizo lakini naona bado.
Tafadhalini naomba msaada wa nini nifanye/kutumia ili niondokane na tatizo hili, kusema kweli linaninyima uhuru wakati wa mazungumzo.
Tatizo kuubwa linalowakabili watu wengi ni mfuko wa usagaji chakula kuwa na kasoro,pia unywaji wa maji usio zingatia masharti....muda hautoshi,Nike kwenye ufumbuzi; kula tango moja pamoja na maganda yake kila siku 1. Baada ya nusu saa hutonuka kunywa Hadi Massa 12. Usikose kuniletea mrejesho. Asanteni.Kuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki.
Yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine, nashukuru nimefika nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee.
Jamani tupigwe mswaki na kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno.
MAONI YA MDAU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hao watu wanaonuka midomo huwa wanapenda kuongea. Yani kwa mastori ni balaa.
Ni sawa na watu wenye mapengo kwa kupenda kucheka noma [emoji3][emoji3]
Halafu hao watu wanaonuka midomo huwa wanapenda kuongea. Yani kwa mastori ni balaa.
Ni sawa na watu wenye mapengo kwa kupenda kucheka noma [emoji3][emoji3]
Nashukuru kwa kuleta huu uzi hapa mizani na nimefarijika sana kuwa umeletwa na mwanadada kwa sababu kuna utafiti ninafanya bado sijaukamilisha ila nilichobaini ni kwamba Wanawake wana uwezo mkubwa wa kuhisi harufu kuliko wanaume.Kuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki.
Yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine, nashukuru nimefika nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee.
Jamani tupigwe mswaki na kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno.
MAONI YA MDAU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati panya kafia mdomoni dahMtu ambaye hapati haja kubwa kama inavyotakiwa kitaalamu mara nyingi huwa na hili tatizo, akihema utafkiri panya kafia mdomoni hata apige mswaki mara mia kwa siku bado hali itakuwa hiyo hiyo.
Usiombe sasa ukutane na dada mwenye hilo tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa safari ya kwenda mkoani au town kati? maana kama ni Dar-Mwanza lazima uvimbiwe.
Hakuna cha bora hapa muhimu usafi uzingatiwe hakuna uhafadhali wa jinsiaNakumbuka nilisitisha zoezi la mtongozo kwa mabinti wawili, M na J.. ni bora mtoto wa kiume unuke mdomo lkn sio wa kike
...hata akiishi kwenye kiwanda cha dawa za kupiga mswaki.Wakati mwingine watu hawa huwa na maambukizi kakika mfumo wa kinywa na hewa.Hata akiishi kwenye kiwanda cha dawa za kupigia mswaki bado shida itabaki palepale.Cha msingi ni tiba.
Asante, nina tatizo hilo nitazingatiaTatizo kuubwa linalowakabili watu wengi ni mfuko wa usagaji chakula kuwa na kasoro,pia unywaji wa maji usio zingatia masharti....muda hautoshi,Nike kwenye ufumbuzi; kula tango moja pamoja na maganda yake kila siku 1. Baada ya nusu saa hutonuka kunywa Hadi Massa 12. Usikose kuniletea mrejesho. Asanteni.