madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 589
Ili tatizo lipo jinsia zote mbili,huwa napata shida sana nikikutana na watu wenye hili tatizo. Hii mbaya sana usiombe kunuka mdomo aisee,me huwa napiga mswaki mara 2 kwa siku na huwa napiga kila kona ya kinywa hadi kwenye ulimi napitisha mswaki ila nakuwa mwangalifu nisijichubue (nikila chakula kinachobakiza harufu mdomoni lazma nipige mswaki japo harakaharaka)
Natumia almost dkk 10-15 kupiga mswaki na mara nyingi huwa napenda kukagua harufu ya kinywa kwa kuweka kiganja mbele ya mdomo na pua kisha natoa hewa kwa nguvu kupitia mdomoni.
Ijali afya ya kinywa jamani kunuka mdomo aibu..kuna mtu me huwa namkwepa kwa sababu ya harufu mbaya inayotoka kinywani mwake.kama nikipata manzi ananuka mdomo asee haraka sana nitatafuta njia nzuri mpaka nimwambie akamwone daktari akimaindi basi😀 la sivyo napiga chini.