Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

mmh! sunctus naona leo umekuja ki dentistry zaid.
BTW colgate kwasasa wameleta miswaki mipya ambayo ina tounge scrapper kwa nyuma nimeiona ni mziuri sana hasa kwa watu ambao ni wanywa pombe, na wavuta sigara.

istoshe afya ya kinywa huenda sambamba na aina za vyakula. vyakula vingi vya carbohyrate huaribu kinywa kwa kufavour growth of Mos ambao huleta harufu mbaya kinywani. pia ulaji wa vyakula ambavyo vina mafuta mzito kama nyama. sasa mtu anayetumia kubrush kila baada ya mlo kwa kutumia mwaki mzuri na kusugua ulimi, kwa 99% anapunguza chances za kuwa na kinywa chenye harufu isiyopendeza.

ngano na karanga ni vitu hatari sana kwa kinywa ingawa vinahitajika sana mwilini hivyo vituikapo lazima afya ya kinywa izingatiwe
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeelezea vizuri sana. Kwa wale wa vijijini na wasioweza kutumia dawa za meno wanaweza kutumia hii njia.

Hata hivyo halufu mbaya inayozungumziwa hapa ni ile ambayo imepita kiwango cha kawaida na nkuwa kero ambayo hata dawa hazifui dafu.

Hasa hasa kuna wale ambao harufu inaanzia tumboni(digestive Disorders)
 
Ni kweli, kuna baadhi ya magonjwa ya fungus (husababishwa na bacteria) kwa akina dada ambayo kama ukiambukizwa kinywani mwako, basi kuna uwezekano harufu ikawa si njema . . . . lol

my dearest naomba nikurudishe drasani kidogo tu lol!!
magonjwa ya fungus ni ya fungus na magonjwa ya bacteria ni ya bacteria. fungus ni nini?? na je wanatofautianaje na bacteria??

hawa wadudu wote ni wadogo sana na bacteria hana defined nucleus while fungi anayo na hivyo humfanya fungi awe eucaryote. sasa hili lina implication sana kwenye jinsi wanavyo attack magonjwa. kwasababu hata kama wote watavamia eneo moja basi sio kwamba wote watakuwa na ugonjwa utakao tibiwa kwa dawa moja la hasha. na hivyo huwez kusema bacteria husababisha baadhi ya magonjwa ya fungus.

kwa mfano mtu mwenye menigitis inayosababishwa na bacteria ni wazi kwamba atapata menigintis itokanayo na fungus kwani mwili unakuwa immuno compromised sana.

on the other hand fungus ni oppurtunistic attac ambayo mpaka mazingira yaruhusu ndipo hujitokeza ila otherwise hapana tofauti na bacteria. kama kinywa kimeshambuliwa na fungus basi tiba yake ni tofauti na kama kimeshambuliwa na bacteria. ingawa wanaweza wote wawili wakaattac kwa pamoja.
 
Ni kweli, kuna baadhi ya magonjwa ya fungus (husababishwa na bacteria) kwa akina dada ambayo kama ukiambukizwa kinywani mwako, basi kuna uwezekano harufu ikawa si njema . . . . lol
kweli mkuu kuna rafiki yangu akiongea mdomo unatoa harufu kali sana nilipomuuliza hakuwa na haya alisema yeye anapenda sana kufyonza
 
Mmmh! Trainer you got many colours like a jungle lizards! Huogopi anaconda?
Flossing daily ntawezea wapi aisee? Si itakuwa yale ya kujichokoroa kama unataka kujitapisha? Hehehe.

I am a religious user of colgate tongue scrapper toothbrush (cc gfsonwin). but i still brush my tongue kama nascrub chooni. Plus, hata colgate mouthwash siiwezi ku-guggle nilivyo muoga. Unajua ukifanya dental med check just once a year utaepuka meno yaliyotoboka ambayo yanachangia sana kunuka mdomo.
We Trainee, for maximum oral hygiene flossing must be done daily at least twice. On top of that tongue scrapping using a tongue scrapper helps a great deal.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Trainer you got many colours like a jungle lizards! Huogopi anaconda?
Flossing daily ntawezea wapi aisee? Si itakuwa yale ya kujichokoroa kama unataka kujitapisha? Hehehe.

Anakonda hana sumu bana. Labda aninyatie animeze.

Flossing daily ndo inavyotakiwa. Ku-floss mara moja kwa wiki haishauriwi. Hebu fikiria, tuseme unafloss kila J'tano. Haya, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, na Jumanne, siku zote hizo utakuwa unakula na ukila lazima mabaki ya chakula yatakuwepo katikati ya meno. Na mdomo ni sehemu ambayo imefungwa hivyo bakteria hujizaa kwa haraka sana. Yaani unataka kuniambia utasubiri masiku yote hayo ndo ufloss? Afadhali hata ungeniambia every other day ndo unafloss. Lakini once a week kwa kweli hiyo siyo proper oral hygiene.

Hebu ona hiki kipande:

Flossing is an essential part of any oral health care routine. The American Dental Association recommends flossing at least once a day to achieve optimal oral health. By flossing daily, you help remove plaque from the areas between your teeth where the toothbrush can't reach. Source

I am a religious user of colgate tongue scrapper toothbrush (cc gfsonwin). but i still brush my tongue kama nascrub chooni. Plus, hata colgate mouthwash siiwezi ku-guggle nilivyo muoga. Unajua ukifanya dental med check just once a year utaepuka meno yaliyotoboka ambayo yanachangia sana kunuka mdomo.

Hizo toothbrush scrapper nazijua na haziko effective kama hii scrapper hapo chini ambayo imetengenezwa kwa dhumuni moja tu na siyo dual use. Hata ukiangalia umbile lake linafaa kabisa kukwangulia ulimi hasa kule chini karibu na koromeo.

Tongue_Scraper.JPG
 
my dearest naomba nikurudishe drasani kidogo tu lol!!
magonjwa ya fungus ni ya fungus na magonjwa ya bacteria ni ya bacteria. fungus ni nini?? na je wanatofautianaje na bacteria??

hawa wadudu wote ni wadogo sana na bacteria hana defined nucleus while fungi anayo na hivyo humfanya fungi awe eucaryote. sasa hili lina implication sana kwenye jinsi wanavyo attack magonjwa. kwasababu hata kama wote watavamia eneo moja basi sio kwamba wote watakuwa na ugonjwa utakao tibiwa kwa dawa moja la hasha. na hivyo huwez kusema bacteria husababisha baadhi ya magonjwa ya fungus.

kwa mfano mtu mwenye menigitis inayosababishwa na bacteria ni wazi kwamba atapata menigintis itokanayo na fungus kwani mwili unakuwa immuno compromised sana.

on the other hand fungus ni oppurtunistic attac ambayo mpaka mazingira yaruhusu ndipo hujitokeza ila otherwise hapana tofauti na bacteria. kama kinywa kimeshambuliwa na fungus basi tiba yake ni tofauti na kama kimeshambuliwa na bacteria. ingawa wanaweza wote wawili wakaattac kwa pamoja.

For Your Information:

Yeast Infection (Thrush):

• Yeast infection is commonly known as thrush
• It can affect any part of the body, but it primarily affects:
o Under arms
o Area between toes
o Genital area
• This condition affects both men and women
• Women usually develop this infection in their vagina

Symptoms to look for:

• Itching
• Discomfort during intercourse
• Burning sensation during urination

Causes:

• Yeast are microorganisms which are present in our body. An increase in the level of yeast leads to this
infection. The level of acid, which keeps yeast in check, dips during:
o Pregnancy
o Menstruation
o Diabetes
o Intake of birth control pills

Natural home remedy using aloe vera:

1. Aloe vera gel is very effective
2. Take an aloe vera leaf
3. Peel off the skin
4. Extract the gel from inside
5. Apply this gel on the infected area
6. Leave it for 30 min
7. Wash it off with water
8. Do this twice a day

Natural home remedy using coconut/cinnamon oil:

1. Apply coconut or cinnamon oil 2-3 times a day
2. Both oils have anti-fungal properties

Natural home remedy using yogurt:

1. Soak cotton in yogurt
2. Apply it on the infected area
3. Leave it for 30 min
4. Do this twice a day

Tips:

• For non-vaginal infections, apply garlic paste directly on the infected parts
• Do not scratch the infected area
 
Pia kuna tonsil stones (tonsilloliths). Hizi nazo hutoa harufu mbaya sana.

Ni kweli Mkuu. Hiyo nayo ina tiba yake:

Tonsillitis:

• Tonsillitis is the inflammation of tonsils
• Tonsils are situated in the throat area

Symptoms to look for:

• Pain in the ear and throat
• Sore throat
• Headaches
• Fever
• Weakness
• Body ache

Causes:

• It is a result of viral or bacterial infection

Natural home remedy using ice:

1. Take some ice cubes
2. Wrap them in a cloth
3. Place this cloth on the tonsils for 10-15 min
4. Do this 5-6 times in a day

Natural home remedy using milk, turmeric powder and black pepper:

1. Take 1 glass hot milk
2. Add ½ tsp turmeric powder
3. Add ½ tsp black pepper
4. Mix well
5. Drink slowly at bedtime

Natural home remedy using lemon, salt and honey:

1. Take 1 glass lukewarm water
2. Squeeze ½ a lemon in it
3. Add a pinch of salt
4. Add 2 tbsp honey
5. Mix well
6. Sip this mixture
7. Drink 2 times everyday
 
Nashuku mkuu!

Ila itanilazimu kusaka kamusi ili nitafasiri hii lugha ya kigeni ndipo niisome kwa utuvu zaidi!
 
Nasikia zipo harufu mbaya zinazotoka ndani kabisa i.e tumboni, harufu hii humfanya mtu awe ananuka kinywa. Jinsi gani mtu anaweza kuondoa harufu hii?
 
Mwenye tatizo hizo hilo amtafute mdada anaitwa jesca ana bidhaa zinasaidia sana hilo tatizo sio kutuliza kumaliza kabisa. Namba yake ni 0753298373. Hata wale wanaotoka majasho sana na kunuka kikwapa kikaliii anayo tiba.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hatimaye nimefanikiwa kupata suluhisho la harufu ya pombe mdomoni nimeshauriwa na jamaa baa kuwa ni kula vitunguu saumu na kupakaa mafuta ya karafuu kwenye ulimi na meno nimetesti jana swaafiii nimedendeka vibaya kwa mrembo.
 
Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada

Kwa nini usiheshimu na kutendea haki hisia zake? Kama ameshakwambia hapendi, ni bora usinywe pindi unapokuwa na appointment ya faragha!

Kumbuka asipokuwa comfortable, inaweza kuwa sababu tosha ya yeye kutokufika kileleni. Kwani hisia hazitakuwepo!

Inawezekana ile dhana ya kupiga konyagi au siku hizi imekuja zanzi ndipo ukapige show imekuathiri.

Orgasm bila kilevi inawezekana!
 
siku nyingine fanya hivi, ukiona kitu kinanuka jua kimeoza na ili kioze kuna bacteria sasa kuzui kunuka ni kuwaua hao bacteria ukiona domo linanuka chukua sumu ya kuulia wadudu, kunywa kwa wingi watakufa wote na hawatanuka tena . utakuwa unajipigia denda lako safi bila makelele
 
Nimeisoma yote. Mimi najua mambo 3 tu kuhusu usafi wa kinywa.
1. Brush after every meal. Kama unashindwa mchana (asubuhi brush baada ya staftahi), then use sugar free chewing gum. Mate mengi yatasafisha kinywa.

2. Badili mswaki kila mwezi (come onn! Kwani mswaki mzuri ni sh ngapi? Haizidi bei ya box la juice!)

3. Go to the dentist once a year. Like hell the insurance is the one paying!
 
Wengine wanaswaki kila mda ila haisaidii,Wengine wanatumia bublish na lemon na haiwasaidii.
Nadhani ni kuna tatizo kubwa sana maana wengine wakiamka asubuhi hata wasiposwaki hawanuki mdomo.
 
Back
Top Bottom