Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uti hahusiani kabisa na harufu mbaya , hiyo harufu ilitokana na gum disease ambayo incause fizi kublead kwa hiyo ile damu ikikauka inatioa harufu mbaya na amepona mtoto probably ya zile antibiotic , be careful some drs get careless
Au kuna uwezekano ana kamasi (sinus) zinasababisha kunuka mdomo pia
Inawezekana ilikuwa ni painless bleeding????Uti hahusiani kabisa na harufu mbaya , hiyo harufu ilitokana na gum disease ambayo incause fizi kublead kwa hiyo ile damu ikikauka inatioa harufu mbaya na amepona mtoto probably ya zile antibiotic , be careful some drs get careless
Thread hii imenifundisha kitu
Kwamba kunatakiwa umakini sana katika malezi kiasi kwamba hata badiliko kidogo kiasi gani kwa mtoto mzazi anapaswa kuligundua na kulitafutia suluhisho mapema.Kwamba madaktari wa Govenment Hospital wameshindwa kutibu UTI?
Ndugu zangu ninaomva msaada wenu, nina mdogo wangu ambae nnalala nae kitanda kimoja lakini binti huyu ananuka mdomo ka panya kaoza, anapiga mswaki hadi mara nne kwa siku tena anatumia dawa ya mswaki ya alovera forever living lakin wapi, anaeza piga ile anamaliza tu akikukaribia utafikiri kaja.mba nisadieni nini dawa ya kukata harufu. Mana tumesha waona hata ma daktari wa meno lakini wapi, binti kahama shule boarding kaja dei wenzake wanamuharras kwa maneno, ni mkiwa anaishi mwenyewe mwenyewe msaada mwenye kujua.
waganga gani kawaona....?
