Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mtindi unakunywa 1/2 litre kwa wiki mara tatu, halafu kitunguu swaumu unameza na maji ya moto/uvuguvugu
muda wa kunywa asubuhi kabla hujala kitu. Dose ni siku saba
kitunguu swaumu kimenye kizima kimoja .Kwa matokeo chanya zaidi kitunguu unaweza kitwanga na ukachanganya na maji ya uvuguvugu

Mimi chakutwanga kilinishinda ingawaje nilielekezwa kutumia kile kilichopondwapondwa.

Tahadhari wenye presha ya kushuka vitunguu swaumu vimaweza kushusha zaidi .

Mwenye swali naomba aniulize hapa kwa manufaa ya wengi na sio PM. Maradhi hayana aibu
 
Mtindi na Vitunguu swaumu unavifanyaje. Tiba inakuwaje?
 
Hellow
upo best
 
Nyingi hazina...lakini sikulazimishi! Fanya yale ambayo unsona ni sawa machoni pako!
Hapo ndo nmekutoa akili chizi we

Dawa za hospital hazina side effects wkt kila dawa ya hospital unayoijua wewe lazima kuna sehmu y maelezo ya side effects zake

sema kuna mijibu imekarirushwa na imekariri haswaa
 
Naomba unisaidie hiyo mycota powder inapatikana wapi na shilingi ngapi mtoa post tafadhali
Pole sana mkuu, nimekuwa mbali na kijiwe kwa muda mrefu sana. Mycota powder (Tolnaftate) 1 % Topical Powder inapatikana kwenye maduka ya madawa! Ina bei juu kidogo lakini ukikosa hiyo tumia Lotrimin AF Antifungal Powder au clotrimazole powder inayopatikana kwa bei ya chini ktk maduka ya dawa mengi nchini
Ukitumia clotrimazole powder itabidi uitumie kwa muda mrefu zaidi ukilinganisha na mycota powder, ila mwishowe matokeo ni mazuri! ANGALIZO:kumbuka kuendelea kutumia angalau wk 2 zaidi baada ya kuhisi kupona ili isijirudie!
 
Watanzania kuna jamaa anajikuna sana. Yupo smart ila haipiti dakika 5 lazima aguse pumbu kwani kunamuwasha sasa nauliza ili nikamshauri. Dawa yake ni nini?
 
Pakaa mafuta ya karafuu na binzari nyembamba kwa siku tatu halafu oga na usafishe pumbu zako kwa sabuni ya mpapai.
Ukimaliza lete mrejesho. Sanyambila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…