Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nijuavyo mimi mate ya mbwa ni dawa ya kidonda,hata kama kilikua cha ndagu...kitakauka
Habari nyote! Mi mgeni humu! Naomba kukaribishwa. Tahadhari juu ya jibu lako khs mate ya mbwa. Ikitokea mbwa huyo ana vimelea vya Rabies mhusika ataambukizwa na itakuwa hatari zaidi kuliko hiyo fungal infection. Nashauri mate ya mbwa yasitumike. Ni ushauri tu kwa uelewa wangu. Kikubwa tengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa fungus wao wenyewe watakimbia. Mfano ukavu na isafi. Asante.
 
Hahahaaa USSINIKUMBUSHE KABISA
LY 1999
NKAHISI NTAKUWA MGUMBA ACHA TU KAMA UKIMWI.SIKUPATA SIPATI TENA NKAISHIA KUPATA WATOTO WAWILI HATA SIJAOA MAANA NILIHISI MKE SIJUI KAMA ATAVUMILIA HUU MUWASHO LOH......JAMA MWL WASIWASI YUPO??GAFLA NKMAKUTA MLIMAN NAE ANASOMA SIJUI ALIPANGA KUWA NANI NA MVI ZILE

NA YULE MWL.MFUPI MSHENZI ANA MBIOOO KHA ALINTRSA NA VILE VIDEMU VYA JIONO ACHA LOH

Samahani na ww umesomaga Pugu?🤔
 
Kwa wale ambao wamekuwa wakihangaika kutibu tatizo hili bila kupona na dawa za hospitalini za kutibu fangasi zimekuwa na gharama sana na pia kushindwa kutibu vizuri tatizo hili tajwa hapo juu.

Dawa nzuri ya asili ni hii hapa.
Chemsha na maji na kunywa kikombe kimoja asubuhi na usiku wakati wa kulala kikombe kingine
IMG_20191211_130839.jpeg

IMG_20191211_130834.jpeg
 
Upo mahala umeota nauonaga kila siku pembeni mwa nyumba ya mganga,nikajua ni dawa ila sikuwekwa wazi ni ya nini akhsante kwa hili ubarikiwe kama kuna mengine tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale ambao wamekuwa wakihangaika kutibu tatizo hili bila kupona na dawa za hospitalini za kutibu fangasi zimekuwa na gharama sana na pia kushindwa kutibu vizuri tatizo hili tajwa hapo juu.

Dawa nzuri ya asili ni hii hapa.
Chemsha na maji na kunywa kikombe kimoja asubuhi na usiku wakati wa kulala kikombe kingine
View attachment 1288552

View attachment 1288553
Haya majani yanaitwaje Mkuu kwa sisi tunaotokea huku mikoa ya nyanda za juu kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom