Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Ivi wanajamvi mtu anaweza akawa na STD's alafu asionyeshe Dalili zozote?

Na je kama alisha wai ugua uko nyuma na akatibwa akapona kabisa je inaweza ikabaki kwenye Damu? is this possible?? yani awe okay ila kwenye Damu ana STD
 
Ivi wanajamvi mtu anaweza akawa na STD's alafu asionyeshe Dalili zozote?

Na je kama alisha wai ugua uko nyuma na akatibwa akapona kabisa je inaweza ikabaki kwenye Damu? is this possible?? yani awe okay ila kwenye Damu ana STD
Kama. Katibiwa kapona inabakije kwenye damu?? Hapo basi ni kwamba hakupona maana kupona ni kwamba ugonjwa haupo kabisa.......na kuna std ambazo huwezi ona dalili mapema hadi upime
 
Kama. Katibiwa kapona inabakije kwenye damu?? Hapo basi ni kwamba hakupona maana kupona ni kwamba ugonjwa haupo kabisa.......na kuna std ambazo huwezi ona dalili mapema hadi upime
Nna Ndugu yangu alisha wai ugua ilikua mwaka jana ivi bahati nzuri aliwai onspot baada ya kuona dalili na alipata dawa akapona na baada ya kuona amepona akapima kucheki status alikua clean amd Clear hakuwa na ugonjwa tena


Sema sasa Kuna mda anasikia kama kichom iv kwa mbali kina vita alafu kinavuta alafu kinapotea kwenye Uume ni hali ya kuja na kupotea hana dalili nyingine za STD hana.
 
Nakumbuka pia nlikuwa mmoja wa muhanga wa hio kitu, mwaka wa Mwisho chuoni ilitukumba wote tulioishi bwenini, ilitutesa Sana Mpaka mmoja wetu bwenini letu ilikuwa na boys 25 hakuna hata mmoja alienusurika kutokana salama

Japo ilimshambulia Kwa kila mtu Kwa stail yake lakin kuna wengine Mpaka wanamaliza chuo walikuwa wakiugua hio kitu me ilitutesa Sana na mbaya zaid wakat nipo field sehemu nilipokuwa nafanyia n sehemu yenye watu wengi basi nlikuwa nanyanyuka nazuga naenda whani huko n kujikuna sio Kwa kawaida Mpaka p**b zinakuwa nyekundu

Lakini me nlikuja kuipatia nikawa napaka lotion kwangu ilikuwa inanisaidia, lakin nlipo washaur wengine ambao tulikuwa room Moja hawakupatana nayo, Mpaka tukamaliza chuo Bado tatizo hilo liliwatesa wenzangu me nlipona Kwa njia hio ya kupaka lotion
Pole sana ndg!poe
Umenitesa miaka mitatu huu ugonjwa babae,nilikuwa nikivaa jinsi ni mateso likigusa tu mbupu ni maumivu makali natembea kama nna matege
Pole sana ndg!
 
Hahahaaa pamoja sana mkuu Mwifwa ukichanganya yale maji ya bwawani na uchafu aisee P. Erosion ilikua Kama SI unit ya pond boy yeyote. Unajikuna wee mi nilikua hadi naokota vigunz kule kwa kinyogoli naenjoy. Ila ndo zinakua kama maini na maumiv makali baada ya hapo dah
Kweli kabisa raha ipo kwenye kujikuna, ila baada ya hapo maumivu yake si ya dunia hii!
 
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka I seeh😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣!
kuna jamaa yang aliupata, mda akiamua kujisugua anajisugua mpk unga unajaa chini halaf anaita kuku walee, wale kuku wakitoka hapo ni chafya na kuanguka kwa kulewaa, ilikua wakimuona tuu anaingia chemba wanasimama nje kwa furaha.
 
Waliosoma Tanga school na Galanos wanaujua, kuna dawa flan ina rangi ya kijani ukiitumia lazima utafute gazeti ili upepee
Ni spirit hiyo ya kipindi hicho😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😅😅!
Lazima uruke mayenu!
 
huu ugonjwa me nadhani chanzo hasa ni joto(wet) si uchafu japo uchafu inawezakuwa sub factor
No pamoja na joto, uchafu ndio sababu ya msingi! Kuoga, kujikausha na kunyoa ni kinga murua wa kizaazaa hiki!
 
ukinipata mwezi wa 3 tu hapo....

Me nkaupotezea, usiku napiga gitaa hadi ngozi yote inatoka korodani znabak na ngo nyekundu kama inataka kutoa damu hivi... Nliacha tu maana hujaga na kupona wenyewe,

Kilichonikuta sasa kilinikimbiz pharamcy kununua cream ya kupaka.. Ilikua hivia bwana...
Yaani ww ni fundi sana wa kueleza kitu cha maumivu kiasi hicho umekibadirisha kuwa burudani na comedy!!!!😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Ugonjwa Mbaya Sana Huu, Pumbu Zinawasha Balaa, ukipaka spirit utacheza dansi bila ala. Nilfikiri chanzo ni yale makopo ya kutawazia ya vyoo vya uswazi. Huu Ugonjwa Ukimpata Mwanamke Kwenye Dudu lake ni balaa kubwa kujikuna huko ndani kwa muwasho atakaoupata ni siri yake
Kwa mwanamke uke unawasha vibaya mno...Tena kwa nje hususani ikifika usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kudharau tiba hizo kwa maneno ya kashfa kwa lugha yoyote na matusi ya kila aina lakini mwisho wa siku haitasaidia kitu maana kuumwa ni zaidi ya hayo unayoongea. Zamani nilikuwa na tabia kama yako ya kudharau tiba za asili au tiba mbadala kwa lugha hiyo hiyo kwamba ni kwa sababu ya kukosa elimu tena basi elimu tunayodhani ndiyo elimu ni hiyo iliyoletwa na wazungu; ya biology, chemistry, physics, n.k...
Mkuu unaweza saidia kupatikana kwa hyo mmasai wa dawa ya ulcers?
 
Back
Top Bottom