Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Hivi mkuu huyo mtu kwenye avatar yako ndo wewe?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Awe anaanika juani pumbu kwa angalau saa moja kila siku.
Pia asivae chupi. Kila baada ya siku tano awe anaenda kuogelea baharini kwa saa mbili mpaka tano.
Hivi mkuu huyo mtu kwenye avatar yako ndo wewe?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mate ya mbwa ni dawa tosha, mbwa akilamba pumbu anaponaWatanzania kuna jamaa anajikuna sana. Yupo smart ila haipiti dakika 5 lazima aguse pumbu kwani kunamuwasha sasa nauliza ili nikamshauri. Dawa yake ni nini?
Uwe unatoa mbegu kabla ya kuvuta mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Awe anaanika juani pumbu kwa angalau saa moja kila siku.
Pia asivae chupi. Kila baada ya siku tano awe anaenda kuogelea baharini kwa saa mbili mpaka tano.
mkuu swali gani sasa hilo?Jamaa gani huyo
Watanzania kuna jamaa anajikuna sana. Yupo smart ila haipiti dakika 5 lazima aguse pumbu kwani kunamuwasha sasa nauliza ili nikamshauri. Dawa yake ni nini?
Mate ya mbwa ni dawa tosha, mbwa akilamba pumbu anapona
duh!!!!mkuu kutumia neno Mbwa kwa binadamu mwenzio sio poa hivi ungejibu tu uwe unaoga ungepungukiwa nini???Uwe unaoga mbwa wewe
pole sana mkuu,umepima na unaijua status yako kuhusu HIV?Jamani Mimi Nina vipele vidogovidogo vimetoka shingoni na kwapani nimetumia dawa vinaisha vinarudi tena ndo nimeanza iyo dozi ya septrin Mungu anisaidie vipone
Nimepima sina hivpole sana mkuu,umepima na unaijua status yako kuhusu HIV?