Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari wapendwa na mimi nashida iyo kama mabaka nimetumia dawa hadi nimechoka naombeni msaada
Naombeni msaada hapo
 
Umetumia dawa gani ndugu, nahisi na mm Nna huo ugonjwa kama wako. Nisaidie tafadhali
 
Uko kuwashwa asikwambie mtu... usiku mzma ni mkesha asubuh 12 ndo usingiz unakuja
 
Naomba msaada wa tiba ya human pappiloma virus (HPV) kwa jina la kitaa sundesunde.
Kula nikikata vinaota tena na kuongezeka
 
Kuna hii fungus imenitesa Sana inawasha na inaninyima raha ipo sehemu za siri kwenye uume na korodani naombeni msaada nitumie dawa gani?

 
Habari wakuu me nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la muwasho huu ni mwezi wa pili sasa mwanzo cjukua kama ni fangasi ila baada ya kupitia uziii huu nimeamin ni fangasi coz ikifika mida ya saa 12 naanza kuwashwa mapaja corodan na kwenye kichwa cha uume kuna toka vipele vyekundu na nikijikuna nasikia laha ila ndio baadae napata maumivu makari msaada plz kabla cjaanza kuchanganya madawa...na ajabu tumeugua wengi sana sehem hii ninayo ishi si mimi tu pekee angu.....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…