Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Sasa ni kipi kilikuponyesha hapo ni huo Mchanganyiko wa Lotion au mawese? au ni vyote kwa pamoja? nilifanya majaribia kwa mtu mwenye kibarango mkononi kwa kupaka lotion yenye dawa ndani ya masaa sita kilikuwa kimemaliza uvimbe imebaki rangi.kwa vile nilikuwa nimechoka na fangasi niliamua kutumia vyote hivyo majibu yangu ni vyote kwa pamoja
 
Hello wakuu natumaini mko poa nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri mawazo na vingine vingi mtakavyoona vinanifaa
Nianze na kumbukizi ya namna ugonjwa ulivyonipata yaani dalili, Miezi minne (04) nyuma nilikua niko na mahusiano na dentii mmoja hivii ambaye naamini ndie aliyenipa huu ugonjwa, Ilianza muwasho wa aina yake katika korodani pindi nilipokua nikioga basi nilidharau hii hali na kuipuuza kabisaa lakini kadri siku zilivyozidi kwenda nilianza kutokwa vipele ambavyo kwa hakika vilinishangaza mnoo maana sikuwahi patwa na ugonjwa kama huu hapo awali, Hali hiyo ilinichukua mpaka Famas na majibu yalitoka kua nina zinaa kwakua tayari nmeisha athirika ilinipata haraka sana kuanza tiba ambayo niliambiwa itagharimu 58k ikiwa ni sindano 4 na vidonge vyake. Ajabu ni kua mpaka sasa yapata mwezi umepita tiba nimeimaliza kikamilifu lakini bado ninao ugonjwa na cha kutisha zaidi kadri siku zinavyozidi ugonjwa huu unazidi kushambulia UUME NA KORODANI PEKEE inatishaa mno ndugu zangu naombeni msaada katika hili, Ahsanteen na majukumu mema..
 
Hello wakuu natumaini mko poa nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri mawazo na vingine vingi mtakavyoona vinanifaa
Nianze na kumbukizi ya namna ugonjwa ulivyonipata yaani dalili, Miezi minne (04) nyuma nilikua niko na mahusiano na dentii mmoja hivii ambaye naamini ndie aliyenipa huu ugonjwa,...​

Pole sana, Kama vipele vina rangi nyeupe kwa juu na vinaota kwenye korodani na juu ya kichwa Cha uume basi inaweza kuwa n maji unayotumia kuoga na kukusaidia.

Na hatakama upewe dawa gani ya hospitali hauta pona ila utapata nafuu tu kwa mda kisha ugonjwa unarudi. USHAURI: Acha kutumia maji ya kwenye tenki yaliyo kaa siku nyingi au safisha tenki lako kila baada ya mwezi kwa dawa za kusafishia maji kama chlorine.

Usijisumbue kutumia dawa utajiumiza tu, siku utakayo anza kutumia maji masafi utapona wenye.

Usimutenge huyo student maana tatizo n maji.
 
HABARI ZENU WAUNGWANA

JAMANI EH! NINA TATIZO NAOMBA SOMENI UZI WANGU MPAKA MWISHO NA MNISAIDIE NAOMBA MNISAIDIE TAFADHALI

NILIKUJA HAPA KUOMBA USHAURI MIEZI KADHAA NYUMA KWA TATIZO LANGU LA {FUNGUS} NILIPEWA USHAURI NA JIKAUFUATA VYEMA NA BAADHI YA VITU AMBAVYO NILIAMBIWA NITUMIE ILA BADO SIJAPONA NA TATIZO LIMEONGEZEKA,
NAOMBA NIELEZE VYEMA LEO NINAVYO SUMBULIWA ILI MWENYE KUNISAIDIA ANISAIDIE,

NI HIVI;
NINA FUNGUS AMBAO HAPO MWANZO WALIANZA KUTOA VIPELE VYENYE MAJI MAJI NA NIKAENDA KUCHOMA {POWERCEF} NIKAPONA, WAKARUDI TENA NIKATUMIA {AZUMA} NIKAPONA, WAKARUDI MARA YA TATU SASA HAPA VILITOKA VILENGELENGE NA SI CHUNUSI TENA, NIKAONA NIENDE HOSPITAL MAANA LIKAJA NA TATIZO JINGINE AMBAPO ILI NJIA YA MKOJO INACHOMA CHOMA NA MISHIPA YA UUME INAVUTA SI KAWAIDA, NILIVYO ENDA MWANANYAMALA NIKAFANYA VIPIMO VYOTE VYA ZINAA SIKU KUTWA NA TATIZO NIKAAMBIWA NIFANYE {CULTURE} PIA MAJIBU YAKAWA HAKUNA MDUDU ALIYEOTA NIKAPEWA TRANSIFER YA MUHIMBILI NAKO NIKAFANYA VIPIMO VIKUBWA NIKAAMBIWA HAKUNA TATIZO HIVYO NIKAPEWA DAWA ZA KUPAKA KWA AJILI YA {FUNGUS} NA YA LILE TATIZO LA KUVUTA NA KUCHOMA CHOMA KATIKA NJIA YA MKOJO NIKATUMIA SIKUPONA,

HHAPO SASA NDIO VIKAANZA KUTOKA VICHUNUSI NA VILENGELENGE KUNA DISPENSARY MOJA NIKAENDA KUCHOMA SINDANO YA {ALERGY} NA YA KUUWA VILE VIPELE HAIKU FANIKIWA NA HAPO NIKAANZA KUONA UCHAFU UNATOKA WA MFANO WA SHAHAWA NA NIKAANZA KUTOKA NA VIPELE MIKONONI AMBAVYO VINAWASHA SANA NA BAADAE HALI KURUDI KAMA KAWAIDA KATIKA SEHEMU ZA SIRI,

NANA SASA HIVI KORODANI ZINA WASHA, UUME WENYEWE UNA WASHA NA UNA VIPELE VIDOGO VIDOGO, MWILI MZIMA UNATOKA VIPELE KIMOJA KIMOJA VYENYE MAJIJI MAJI AMBAVYO UKIKUNA HUWASHA NA HUYOA MAJI MAJI NAWASHWAA JAMANI NAWASHWAA HASWAAAA NISAIDIE HILI TATIZO NIMEMALIZA HELA NYINGI NA NIMETUMIA DAWA NYINGI SANA ILA SIJAPONA

NAMBANAMBA ZANGU NI +255686978566 AU +255692224990
NAOMBENI MSAADA WENU
 
Attachments

  • 1610699965096-44538845.jpg
    1610699965096-44538845.jpg
    279.2 KB · Views: 55

Daah pole sana mkuu naimani mungu atakufanyia wepesi utapona
 
Back
Top Bottom