Nyobuya sadi
Member
- Jul 11, 2018
- 6
- 1
Msaada tatizo LA mabaka kifuani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni kipi kilikuponyesha hapo ni huo Mchanganyiko wa Lotion au mawese? au ni vyote kwa pamoja? nilifanya majaribia kwa mtu mwenye kibarango mkononi kwa kupaka lotion yenye dawa ndani ya masaa sita kilikuwa kimemaliza uvimbe imebaki rangi.kwa vile nilikuwa nimechoka na fangasi niliamua kutumia vyote hivyo majibu yangu ni vyote kwa pamoja
Duh sipati picha maumivu yake😃😃😃😃Dawa ni maji ya ndimu au limao mimi ni shahidi siku tatu tu ushapona mara mbili kwa siku
Duh sipati picha maumivu yake[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Itapendeza akiwa anapaka muda akitoka kunyoa itamfaa zaid!Dawa ni maji ya ndimu au limao mimi ni shahidi siku tatu tu ushapona mara mbili kwa siku
Hii ni kweli hii nilishaitumia ila mimi nilichanganya ndimu na Tangawizi ila muwasho wake ni HatariDawa ni maji ya ndimu au limao mimi ni shahidi siku tatu tu ushapona mara mbili kwa siku
Muwasho ukizidi unanawa hahah mimi nimetumia hadi usoni kutoa chunusi na weusi iko vizuri sanaHii ni kweli hii nilishaitumia ila mimi nilichanganya ndimu na Tangawizi ila muwasho wake ni Hatari
Hello wakuu natumaini mko poa nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri mawazo na vingine vingi mtakavyoona vinanifaa
Nianze na kumbukizi ya namna ugonjwa ulivyonipata yaani dalili, Miezi minne (04) nyuma nilikua niko na mahusiano na dentii mmoja hivii ambaye naamini ndie aliyenipa huu ugonjwa,...
Santeee sana mkuu ntalifanyia kazi hiliPole sana, Kama vipele vina rangi nyeupe kwa juu na vinaota kwenye korodani na juu ya kichwa Cha uume basi inaweza kuwa n maji unayotumia kuoga na kukusaidia....
Asante mkuu
Nimenunua candistat
Naanza nayo nione Kama itasaidia
Sasa ni kipi kilikuponyesha hapo ni huo Mchanganyiko wa Lotion au mawese? au ni vyote kwa pamoja?
Ulitumiaje mkuu kwa kuondoa chunus nam nitumieMuwasho ukizidi unanawa hahah mimi nimetumia hadi usoni kutoa chunusi na weusi iko vizuri sana
Ni kupaka maji yako usoni ukiwa unaenda kulala usiku,unakuwa soft soft na chunusi zinakauka,weusi wa chunusi kupasuka unaondoka piaUlitumiaje mkuu kwa kuondoa chunus nam nitumie
Daah pole sana mkuu naimani mungu atakufanyia wepesi utaponaHABARI ZENU WAUNGWANA
JAMANI EH! NINA TATIZO NAOMBA SOMENI UZI WANGU MPAKA MWISHO NA MNISAIDIE NAOMBA MNISAIDIE TAFADHALI
NILIKUJA HAPA KUOMBA USHAURI MIEZI KADHAA NYUMA KWA TATIZO LANGU LA {FUNGUS} NILIPEWA USHAURI NA JIKAUFUATA VYEMA NA BAADHI YA VITU AMBAVYO NILIAMBIWA NITUMIE ILA BADO SIJAPONA NA TATIZO LIMEONGEZEKA,
NAOMBA NIELEZE VYEMA LEO NINAVYO SUMBULIWA ILI MWENYE KUNISAIDIA ANISAIDIE,
NI HIVI;
NINA FUNGUS AMBAO HAPO MWANZO WALIANZA KUTOA VIPELE VYENYE MAJI MAJI NA NIKAENDA KUCHOMA {POWERCEF} NIKAPONA, WAKARUDI TENA NIKATUMIA {AZUMA} NIKAPONA, WAKARUDI MARA YA TATU SASA HAPA VILITOKA VILENGELENGE NA SI CHUNUSI TENA, NIKAONA NIENDE HOSPITAL MAANA LIKAJA NA TATIZO JINGINE AMBAPO ILI NJIA YA MKOJO INACHOMA CHOMA NA MISHIPA YA UUME INAVUTA SI KAWAIDA, NILIVYO ENDA MWANANYAMALA NIKAFANYA VIPIMO VYOTE VYA ZINAA SIKU KUTWA NA TATIZO NIKAAMBIWA NIFANYE {CULTURE} PIA MAJIBU YAKAWA HAKUNA MDUDU ALIYEOTA NIKAPEWA TRANSIFER YA MUHIMBILI NAKO NIKAFANYA VIPIMO VIKUBWA NIKAAMBIWA HAKUNA TATIZO HIVYO NIKAPEWA DAWA ZA KUPAKA KWA AJILI YA {FUNGUS} NA YA LILE TATIZO LA KUVUTA NA KUCHOMA CHOMA KATIKA NJIA YA MKOJO NIKATUMIA SIKUPONA,
HHAPO SASA NDIO VIKAANZA KUTOKA VICHUNUSI NA VILENGELENGE KUNA DISPENSARY MOJA NIKAENDA KUCHOMA SINDANO YA {ALERGY} NA YA KUUWA VILE VIPELE HAIKU FANIKIWA NA HAPO NIKAANZA KUONA UCHAFU UNATOKA WA MFANO WA SHAHAWA NA NIKAANZA KUTOKA NA VIPELE MIKONONI AMBAVYO VINAWASHA SANA NA BAADAE HALI KURUDI KAMA KAWAIDA KATIKA SEHEMU ZA SIRI,
NANA SASA HIVI KORODANI ZINA WASHA, UUME WENYEWE UNA WASHA NA UNA VIPELE VIDOGO VIDOGO, MWILI MZIMA UNATOKA VIPELE KIMOJA KIMOJA VYENYE MAJIJI MAJI AMBAVYO UKIKUNA HUWASHA NA HUYOA MAJI MAJI NAWASHWAA JAMANI NAWASHWAA HASWAAAA NISAIDIE HILI TATIZO NIMEMALIZA HELA NYINGI NA NIMETUMIA DAWA NYINGI SANA ILA SIJAPONA
NAMBANAMBA ZANGU NI +255686978566 AU +255692224990
NAOMBENI MSAADA WENU