Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hakuna mtu uliyemuahidi ndoa afu ukamuacha...? Ushauri wangu ni pigia simu ma x wako wote uwaombe msamaha uliyemkosea atajitokeza tu ikishindikana nenda kwa mtaalamu kwani shi ngapi ....?
 
Mzeehe
 
Anitafute nitampa dawa nzuri sana ya kichina ambayo nampa wiki moja tu fungusi kwisha nipigie simu 0715722442 0784722442 0755888215 WhatsApp bei in 25'000/- nimetibu wengi.Doctor.Adam
Sawa
 
Anitafute nitampa dawa nzuri sana ya kichina ambayo nampa wiki moja tu fungusi kwisha nipigie simu 0715722442 0784722442 0755888215 WhatsApp bei in 25'000/- nimetibu wengi.Doctor.Adam
Sawa
 
Ushapata dawa?
 
Kupaka mafuta yanazi kunaua fangus na kuondoka mabakabaka?
 
Hata mm nataka nitumie hii ngoja nijarubu
 
Bosi hii sio fungus ni Scabies tumia BBE inapona .Ila seek dermatology help nimekujibu from symptoms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetumia lugha ngumu kidogo embu nielekez kidogo
Namaanisha huo ugonjwa ulisema unatoa vipele kwenye korodani vinakuwa ka vinundu ila vinawasha hasa usiku .Hii ni dalili inafanana na vimelea (sio fungus) vinavyosababisha ugonjwa uitwao Scabies.Unaambukizwa kwa kuchangia shuka la kulalia yaani kulala na mtu mwenye vimelea kitanda kimoja ,bafu .Kwa hiyo akipata mmoja usishangae unajikuna na wengine wanajikuna. Tiba yake ni dawa inaitwa BBE inauzwa 2000/. Ila ukitumia na usipone basi nenda uonane na wataalam wa ngozi wanaitwa Dermatologist. Ugua pole kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana kaka! Acha nijaribu iyo nilijua ni fangasi mkuu
 
Hiyo ni dawa ya kuywa mkuu au kumeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…