Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari wapendwa na mimi nashida iyo kama mabaka nimetumia dawa hadi nimechoka naombeni msaada View attachment 1691672
Naombeni msaa

Pole sana mkuu
 
Nimerudi kukushukuru mkuu, nashukuru sana kwa suggestion yako tatizo la fangazi limeisha kabisa kwangu, na ata vidalili vikianza natumiaga tena ata siku tatu haziishi inapotea. Ukizingatia vigonge vyenyewe ni very cheap. Shukran san mkuu
 
Hii ni ya kupaka kaka.Kwa dalili zako hii ndo ya kukusaidia ijaribu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana[emoji120][emoji120] mkuu tatizo langu now limepona kabisa nitajaribu kuongea na serikali ijitahidi kukuongezea ulinzi umenisaidia sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] more bless to you[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Fanya kama unatupia picha ya box la dawa na jina kamili.
 
Jaman ndug zangu naomba mnisaidie dawa ya mba kwenye ngozi zimetapakaa mwili mzima tatizo ili lilianza mwaka 2015 kwenye mapaja lakin saiv zimetapakaa mwil mzima me mara ya kwanza nilijua naanza kuwa mweupe nilkuwa sijui kama ni mba naomben mnisaidie dawa jaman nimetumia kila mafuta sabuni zote lakn hakuna matokeo yoyote yale mba zangu zina mwonekano kama nyeupe
 
 
Mkuu detol inavyowasha hivyo especially ikiwa haija dilutiwa si atahisi kijikojolea😀 au kwenye hiyo ya chupa ya plastic detol haiumi?
 
Mkuu nasisitiza apewe ulinzi nami tatizo langu limeisha baada ya kutumia BBE🙏🙏
 
Nimekuja kukushukuru mkuu kwa ushauli wako nilifanya kama ulivo elekeza nashukuru nimepona nilikua nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri tangu 2015 nikitumia dawa zinapona kwa nda tu badae zinarud mpaka mapaja yalikua yamebadilika rangi yalikua meusi tii lakini tangu nimetumia huo mchanganyiko wa mafuta na vidonge tatizo limeisha hakuna muwasho wowote ubalikiwe sana
 
Hio dawa unamaanisha seprini?
 
Ndugu Hazole
Kwanza nipende kukutoa wasiwasi kwamba dawa za fungus ambazo umekwisha kutumia ni nzuri na zinafaa kuliondoa tatizo lako. Ambacho nahisi ni chanzo cha kujirudia kwa ugonjwa huu ni kwa sababu ya kuanza kupotea kwa vipele vya fungus baada ya kutumia dawa kwa mda tajwa hakumaanishi kwamba tayari vimelea vya fungus vimeharibiwa vyote , hivyo nachokushauri usiache kutumia dawa hizo unazoweza kuzipata hata kama unaona kabisa kama umepona. Endelea zaidi kutumia dawa kwa mwezi mmoja au miwili zaidi.
 
Dawa ni sahihi nahisi hutibu mavazi fua mavazi kwa kutumia jik ili kuuwa fungs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…