Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

 
Kuna wakati nilikua na mba mwilini jamaa mmoja akaniona akabidi anipe mafuta ya transifoma yalikua kidogo tu ata mills 100 ayafiki nilipata mara 2 mba ukaisha adi leo hii sijawahi pata kbsa

Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
 
Shop: KIZUMANGO SHOP OPEN NOW

TOP SYRUP[emoji93][emoji736]
ni dawa asilia inatibu magonjwa yote ya ngozi kwa haraka na kukuacha ukiwa unang'aaa.
Pata leo TOP SYRUP upate faida hizi[emoji736]

[emoji736]Inatibu chunusi na magonjwa mengine ya ngozi yasababishwa bacteria.
[emoji736]inaondoa madoa meusi mwilini na kuzunguka macho.
[emoji736]inaondoa sugu kwenye ngozi.
[emoji736]inatibu na kuondoa harufu mbaya mwilini.
[emoji736]inasafisha damu na kusafisha ngozi.
[emoji736]inaondoa makovu madogo madogo
[emoji736]inalainisha na kurudisha nuru ya ngozi.

TUMIA TOP SYRUP KUTIBU NGOZI YENYE MATATIZO SUGU. [emoji94][emoji94][emoji91]

#Gharama 15000tsh chupa 1
Kunywa kijiko cha chakula 1 x 2

INATIBU NDANI YA DAMU KUANZIA KWENYE CHANZO[emoji1690]

Tupigie, WhatsApp au SMS 0684765575

#TOPSYRUP
#TOPSYRUP
Unasumbuliwa na magonjwa ya ngozi? Umeshahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio imekuwa changamoto kubwa kwako?
#ngoziyangu
#afyayangozi
 
Vipi ushapata tiba mkuu?
 
Mnapatikana wapi
 
Habarini wakuu
Naombeni mnisaidie dawa ya mba wa mwilini(matango tango)
 
Kaka ulipona
 
habari zenu ,naombeni msaada nimekuwa natatizo la fungus sehem za siri kwa mda nilipima vdrl nikawasina kitu ndio nikaambiwa kwamba ni fungus ila mpaka kujua hilo nilikuwa nimeanza kutoka vipele sehem za siri haswa kwenye mkanda karibu na kichwa vinatoa maji na kuwashwa alaf baadae vinakuwa kama vidonda nimepewa dawa nying sana za kupaka ila hazisaidi nikachuma na sindano 5 za powersef ila bado naombeni msaada kwa sasa hadi nikikojoa karibu na kichwa nasikia maumivu makali naombeni msaada wakuu[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…