Vipi kuhusu hali kama hii?
Hiyo ni Circulation problems into skin ;
Tunaposema Circulation, tunamaanisha mishipa ya damu
Kuna aina 2 za mishipa
1. Mishipa ya kawaida mikubwa inayosafirisha damu , hii sio rahisi kuziba
2. Mishipa midogo sana ( Microcirculation) ; hii mishipa ndio hupokea virutubisho na hewa safi kutoka kwenye mishipa mikubwa na kupeleka sehemu mbalimbali za Mifumo ya mwili
Hii mishipa midogo ni rahisi sana kuziba na kusababisha matatizo makubwa mwilini kama kukosa virutubisho pamoja na Oxygen, hivyo kufanya Seli za mwili kufa , Kama hiyo sehemu inavyoonekana !
Katika Nature , tutahitaji kufanyia kazi eneo la Energy flow + Blood flow
Energy flow ikiwa Stasis / Stuck level , itaathiri blood flow , na kwa maana hiyo mishipa pia itakuwa imekwama , kushindwa kusafirisha virutubisho na hewa safi /Oxygen mwilini , hivyo kuathiri Seli mbalimbali za mwili .
Treatment plan ( Nature / Xianhe )
1. Smooth Liver & Gallbladder system energy
2. Improve circulation
Kama ngozi inawasha / Itching Skin ; then hiyo ni Hot toxin in blood , tutahitaji :
1. Clear hot toxin in blood
2. Improve blood circulation in the body ( Skin )
3 . Replenish water property energy into Lungs & Large Intestine system in order to heal the skin .
After treatment ends up , mwili utarudisha hali ya ngozi vizuri sana , hakuna shida itatokea tena !
Dawa zetu asili zipo kutoka Marekani !
Cont: 0653048888 , 0757577995