Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

dawa ya fungus ni usafi na ukavu, baasii! Ukiuweka mwili wako mkavu utawasikia radioni. Make sure unakausha mwili wako kila unapohisi una maji maji au baada ya kugusana na maji.

Aksante sana mkuu kwa ushauri wako.
 
dawa
baada ya kufuata hayo maelezo yote hapo juu huna budi kutumia dawa sasa
dawa yenyewe ni fluconazole 150mg kila siku, kwa muda wa siku 7-kumi
hii ni jumuisho la mazingira ya ukavu katika miguu kama ulivoshauriwa japo kama hutatumia dawa tatizo litakua linajirudia,,
nimeandika hio dawa nikiwa na wazo kwamba hao fungus hawajala kucha za vidole kama
pia wamekula kucha let me knw,
[h=3]Griseofulvin pia ni dawa nzuri ila sio kama fluconazole 500-1000mg/day for >14 days
ya should pay for consultation[/h]
 
kuna thread ilishaletwa hapa tumia vitunguu swaumu tengeneza juisi awe anakunywa ndani ya wiki atapona kuna jamaa yangu alikuwa anasumbuliwa nilimwelekeza kwa sasa amepona kabisa
 
Vitunguu swaumu au koko za bahari dawa nzuri sana isio na ghalama
Kiutalamu nenda kamuone Dr atazioona kwa macho na kukushauri dawa gani ya kutumia kutokana na mazingira mnayo ishi
 
Pekua pekua makabrasha hapa ndani. Kuna mtu alishasema vitunguu saum ni dawa. Waliotumia walitoa ushuhuda hapa jukwaani
 
yap nilisoma uzi wa viunguu nikajituma kujaribu tu mambo pouwa kama cdm .nadhani hamna zaidi ya kitunguu swaumu labda harufu yake
 
Na hzo fluconazole unakunywa kila cku kwa siku 7 au unakunywa kidonge kimoja kwa wiki kwa miezi mitatu?mana mim ninavyoelewa ni kwamba kidonge 1 kwa wiki
 
paka "apple cider vinegar" kila siku. Ni rahisi na nzuri kuliko kitungu saumu
 
Hiyo yote mliyosoma hapo juu ni dawa za muda tu,
kiboko yao nihii ni ofa kwa kila atakaye soma hapa,
chukua aspirini kama 20 saga iwe kama unga chukua poda yeyote nyunyuzia kwenye aspirini,paka jioni na asubui kwa siku 4 utapona kabza,kwa maelezo saidi tuwasiliane
 

mkuu bao6, vipi kuhusu kutibu amoeba???????????nimepima hospitali nimeambiwa amiba nimetumia dawa nyingi bila mafanikio. help me plz
 
msaada ni mwaka wa pili huu nmejarbu daw mbalimbli ila imeshindkana yani adi ngozi imebadlika rangi
 
We weka hapa dawa ulizowahi kutumia hapo ndo watu watajua kama umekua sugu au unafanya mistreatment.
 
What?Hapa n jamii forum... unaongea vyovyote, ilmrad isiwe 'pumba' na lsiwe tusi!

Mkubwa, kama madawa yamebuma hep pumzka kdogo but though am not a dr by proffessional, nakshaur uanze kampen ya usaf wa mwl kwa sabuni zenye dawa huku ukibadlsha 'kufuli' kama wadada ... yaani asubuh na jioni mwsho ukpata nafas jipe hewa kwa kupiga 'freestyle' yaan usivae chup ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…