Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
nameza pamoja na yale sijui ndio machicha yake au naweza isaga tu alaf nikanywa mchuzi wake tu
Nadhani unameza vyote ndiyo inakuwa safi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nameza pamoja na yale sijui ndio machicha yake au naweza isaga tu alaf nikanywa mchuzi wake tu
MEZA YOTE!Fuata maelekezo mkuu,sijasema mchuzi pekee.nameza pamoja na yale sijui ndio machicha yake au naweza isaga tu alaf nikanywa mchuzi wake tu
baosita, mimi nilikunywa dawa siku ya kwanza na ya pili. Najisikia nafuu sana. Lakini kuna tatizo lmetokea nilitaka kujua kama ni hali ya kawaida. Baada ya kutumia dawa kwenye njia ya haja kubwa kuna maumivu fulani kama vile aidha nimekula pilipili nyingi au nimepaka pilipili. Ajabu ni kwamba nikienda haja siumii sana na napata haja kama kawaida. Hiyo hali bado naisikia mpaka sasa ikiwa ni siku ya pili tangu ninywe hiyo dawa. Je, hiyo ni hali ya kawaida?
Jamani naomba nitoe tahadhari na hii dawa. Kitunguu saumu ni dawa sana ya Kushusha presha. Unaweza kushusha presha kwa kutumia punje za kitunguu saumu. Na kama presha yako iko chini halafu ukala kitunguu saumu kibichi ujue utaishusha zaidi. Hii ilimtokea mama yangu. Alishauriwa anywe maji yaliyolala na punje 8. Yeye akaponda ili ifanye kazi haraka. Du! Tusingepata akili ya kumpa kahawa ingekua hatari maana presha ilishuka sana. Kwa hiyo nashauri mtu kabla hajatumia, acheki kwanza presha yake.
Vp kuhusu dawa ya fasta ya kuondoa mafuta na kolestrol mwilini?.
Dr Baosita, nami nimekunywa hii dawa yako na side effects ni kama za ankal GosbertgoodluckBaosita, mimi nilikunywa dawa siku ya kwanza na ya pili. Najisikia nafuu sana. Lakini kuna tatizo lmetokea nilitaka kujua kama ni hali ya kawaida. Baada ya kutumia dawa kwenye njia ya haja kubwa kuna maumivu fulani kama vile aidha nimekula pilipili nyingi au nimepaka pilipili. Ajabu ni kwamba nikienda haja siumii sana na napata haja kama kawaida. Hiyo hali bado naisikia mpaka sasa ikiwa ni siku ya pili tangu ninywe hiyo dawa. Je, hiyo ni hali ya kawaida?
Hakika utapona mimi nina wiki tu nimeshapona kwa asilimia 70% hata nataka nipige tena yani kwa hasira maana nimetumia madawa kibao na hayakunisaidia alafu nakuja kupona kwa sh 0? hebu fikiria!!!! Shukrani nyingi kwa Dr BAOSITANimerumia vitunguu swaumu leo, sasa niko kwenye kusubiria matokeo. Lol
Mkuu, kuna madhara yoyote ya kuirudia dawa hii baada ya wiki moja hivi?Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.
Kama sehemu hizo zinakuwa nyevu nyevu (damp) muda wote huenda ni eczema/dermatitis. Nakushauri pamoja na hizo dawa za kupaka (antifungal na/au antibacteria ) utumie vidonge vya vitamin B denk , kidonge kimoja kila siku kwa siku 30 .Habar ndugu zangu, nmerudi tena kwa mara nyngne tatzo langu lmegoma kuisha, nina fangas kwenye ngozi inayozunguka sehem za pumbu, hu ni mwaka wa tatu, nmetumia dawa nyng sana za kupaka na vidonge, na tatizo linazidi kuwa sugu, nisaidieni nifanyaje ndugu zangu, had muhmbli nilienda dokta akaniambia sio fangas n vipele lakin dawa alizonipa hazikunisaidia kabsa.
Mkuu hekimatele Hii Dozi ya Vitunguu saumu ni Fungus za sehemu zote za mwili iwe miguuni mikononi au hata Sehemu za siri inatibu ili mradi iwe ni fungus na maradhi ya Minyoo pia inatibu tumia kisha uje hapa utoe Majibu yako umepona au bado? Give me feedback.Mkuu hii dozi ya vitunguu swaumu ni ya fungus za ubayani tu au hadi miguuni na vidoleni?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums