Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisumbuliwa na mimi tumbo miaka kibao.Nimejaribu leo kama siku ya tatu sisikii maumivu tena,kwa kweli ndugu uliyetoa tiba kupitia jf Mungu akubariki sana.
Nafuu uliyopata inaitwa "placebo effect."
Asilimia 99 ya Watanzania hawajawahi kusikia kitu kinachoitwa "placebo effect."
Nchi ya watu ma-primitive tulionyimwa elimu, masikini weee, yani inaniuma kweli kweli nchi yangu.
Jinga hilo achana nalo, wewe labda ndio humjui. mipumbavu ipo mingi humu JF.Acha sifa za kijinga wewe...kwa kuwa wewe umechelewa kujua maana ya placebo basi unajua woote walikua hawaijui.
Kitunguu swaumu ni dawa,achilia mbali huu uzi!!!tena ukome kabisa kutu'underestimate wabongo.Baba yangu amekua akitumia vitunguu swaumu kwa muda mrefu sasa,na vimemsaidia saana,ingekua temporarily healing,ningeona matokeo yake,but he's fit na anendelea kuvitumia mpaka leo...
Punguza kuropoka.....................
Sasa mtu anayekwambia 99% hawajui kitu fulani halafu yeye 1% ndio anajuwa huwezi kugunduwa kama ana kaswende ya Ubongo!! huo utafiti aliufanya lini wapi na kwa sample zipi mpaka ajiridhishe hiyoo 99%Asante mkuu Matola kwa kunifumbua macho..........!!!
habari zenu wadau.nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!hii imekuwa kero sana.haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.cha kufanya ni:-
nunua kitunguu swaumu.menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(mara chache sana hutokea kutapika)
ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.baada ya siku 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.ni hayo tu.
Siamini mtu anayeweza kuandika kiswahili akashindwa kusoma kiswahili.kaka sasa hiki kitunguu unakisaga chote baada ya kumenya?
Maana hujasema kama ni chote kizima? Mimi nakwenda leo kukitengeneza kisha nitakwambia
asante
Bora nipate 'sifa za kijinga' lakini zikasaidia kuamsha jamii ya Watanzania wenzangu, kwamba jamani eeeh, tuanze kuondokana na waganga wa vitunguu na matabibu wa kienyeji! Tujijengee uwezo wa kieledi wa karne ya 21.Acha sifa za kijinga wewe...
Hapana, baba yako peke yake hawezi kuwa kigezo cha "ningeona matokeo yake"! Ilibidi uchukue baba yako na wajomba zako na ukoo wenu mzima na majirani na ushee mle "dawa" na wengine wanywe placebo na wengine wawe control group na mpimwe kwa muda unaorekodiwa kieledi. Vinginevyo observation yako ni ya ki "profesa maji marefu"!Baba yangu amekua akitumia vitunguu swaumu kwa muda mrefu sasa,na vimemsaidia saana,ingekua temporarily healing,ningeona matokeo yake
Bora mimi niliechelewa kujua kuliko mamilioni ambao mpaka leo hawajui, ndo maana akitokia kibabu kimoja ambacho kuandika jina lake hajui akawaambia amewagundulieni dawa ya kutibu kila ugonjwa basi Watanzania wote rrrrrrrrrr... kwa kibabu!... placebo effect ikiisha mnaanza kukisakama kibabu kiwalipe!.... kizazi kilichonyimwa elimu, a wasted generation!kwa kuwa wewe umechelewa kujua maana ya placebo basi unajua woote walikua hawaijui.
You're the King of this PRIMITIVE Generation.A primitive generation!
Bora nipate 'sifa za kijinga' lakini zikasaidia kuamsha jamii ya Watanzania wenzangu, kwamba jamani eeeh, tuanze kuondokana na waganga wa vitunguu na matabibu wa kienyeji! Tujijengee uwezo wa kieledi wa karne ya 21.
Hapana, baba yako peke yake hawezi kuwa kigezo cha "ningeona matokeo yake"! Ilibidi uchukue baba yako na wajomba zako na ukoo wenu mzima na majirani na ushee mle "dawa" na wengine wanywe placebo na wengine wawe control group na mpimwe kwa muda unaorekodiwa kieledi. Vinginevyo observation yako ni ya ki "profesa maji marefu"!
Bora mimi niliechelewa kujua kuliko mamilioni ambao mpaka leo hawajui, ndo maana akitokia kibabu kimoja ambacho kuandika jina lake hajui akawaambia amewagundulieni dawa ya kutibu kila ugonjwa basi Watanzania wote rrrrrrrrrr... kwa kibabu!... placebo effect ikiisha mnaanza kukisakama kibabu kiwalipe!.... kizazi kilichonyimwa elimu, a wasted generation!
Jamani, zaidi ya hisabati hakuna somo ambalo kila Mtanzania lazima alisome mpaka Form IV, isipokuwa Biology, lakini watu kwa mamilioni bado hawaelewi the basic fundaments of microbes and diseases.... kizazi cha babu wa Liliondo, mnaenda kupewa dawa ya kipindupindu na minyoo halafu mkiwa kwenye foleni kusubiri dawa mnalala pembeni ya kinyeshi na inzi halafu wagonjwa wote wenye kuhara na kutapika wanakunywa dawa kwenye kikombe hicho hicho! dawa nini? maji ya imani! A primitive generation!
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.