Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
inawezekana. Garlic ya kienyeji ni kama zambarau hivi
Ok ngoja nikaitafute ambayo Genuine nijaribu na leo tena vipi baada ya kuitumia unaweza ukapata na vibia viwili vitatu hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana. Garlic ya kienyeji ni kama zambarau hivi
Muhimu ni kwamba umetumia juice ya kitunguu swaumu (garlic) kizima. Kuharisha , kutapika na uchungu haimaanisha kwamba hizo ndiyo dalili za garlic kufanya kazi au ndiyo kinafaa. Tiba itaendelea hizo dalili ziwepo au zisiwepo.Jamani mimi nimeitumia tena kwa mara ya pili nimeenda mwenyewe siokoni nimenunua Kitunguu saumu nimesaga vizuri na kuweka maji ya vuguvugu kama alivyosema mtaalamu lakini sipati huo uchungu wala kuarisha na hata dalili za kutapika na nimetumia mara mbili nikaweka na limao lakini wapi nipo fresh au kwa sisi walevi inadunda?
Tuache kudanganya watu. Fungus haziwezi kuponyeshwa na kitunguu swaumu na kwa kutumia dose ya kitunguu kimoja tu.
Nimetumia leo, kwanza sijasikia kichefuchefu wala kujisaidia kabisa wala haina ucxhungu hebu nione mpaka kesho nione
mi nimekula ili kuondoa minyoo lakini nashangaa kuna kausumbufu kengine kanajitokeza
inakuwa mtihani mkubwa kwangu kwa sababu sijaoa, au sijui kwa sababu nakula na asali
mtaalamu nisaidie maana mkono hautoki mfukoni, hii itakuwa balaa kwenye daladala au
treni zetu mpya.
Hata hivyo minyoo nahisi kama imepotea ngoja nijitazame zaidi.
Labda una utumbo wa Mamba fanya check up!!Jamani mimi nimeitumia tena kwa mara ya pili nimeenda mwenyewe siokoni nimenunua Kitunguu saumu nimesaga vizuri na kuweka maji ya vuguvugu kama alivyosema mtaalamu lakini sipati huo uchungu wala kuarisha na hata dalili za kutapika na nimetumia mara mbili nikaweka na limao lakini wapi nipo fresh au kwa sisi walevi inadunda?
Labda una utumbo wa Mamba fanya check up!!
Sasa mkuu,sio lazima usikie hizo dalili za kichefuchefu.Watu tunatofautiana jamani.Wewe jua kwamba umekula na dawa imeshafanya kazi.Matola Umenichekesha sana, nafikiri sipati kitunguu chenyewe kwani niliamua kwenda Kariakoo mwenyewe kweli kuna aina mbili ya vituu saumu vinaopatikana pale sokoni kuna vya tanga na mbeya nimechukuwa vyote na kutengeneza hii dawa pamoja na yote mimi naitumia vizuri tena kutwa mara 3 vijiko vya chakula na leo nitumia robo ya kikombe cha chai hakuna cha kichefuchefu, kutapika wala tumbo la hara nipo fresh tu.