Je kwa mwanamke mwenye ujauzito wa miezi minne hii dawa haiwezi kuleta madhara[/QUOTE
Adm Kwa hapa labda
Mzizi Mkavu atusaidie ingawa kwa mimi nahisi anaweza kutumia vitunguu swaumu kwa kupunguza makali yake yaani kama mimi nilivyo tengeneza then badala ya kuinywa robo glass tena kwenye tumbo tupu apunguze kipimo cha kunywa tena anywe baada ya kula maana nasikia kutumia kiasi kikubwa cha vimiminika vichungu kwa mwanamke mjamzito haishauriwi maana husababisha mimba kuharibika.
Ingawa hii ya vitunguu swaumu sijui kama iko kwenye kundi la vitu vichungu mi naona iko kwenye kundi la vitu vikali ila kwa kuwa ina antibiotique so matumizi yake kama dawa lazima yawe na viwango.
Kwa yeye pia kama kinga ya magonywa mengi naamini anaweza kuitumia mahali pengi mfano akitengeneza saladi ili kujiepusha na minyoo angalau achukue punje mbili au tatu akatie vipande vidogovidogo achanganye na hiyo saladi. itamsaidia ila kwa ufafanuzi zaidi ngoja tusubiri wataalamu.