Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

nimekunywa mchana ngoja na me nijickilizie , ila nilishushia maji mengi na limao maana nilianza kujickia kutapika tapika ile issue cio ya kitoto aisee, Mungu atusaidie tupone, me nna fungus sugu yaan hadi nakosaga amani
Pole mkuu,kichefuchefu kusikia ni lazima ukitumia hiyo dawa.Nakuhakikishia haupo peke yako kwenye hilo tatizo sugu,UTAPONA!!
 
Nyongeza ya tahadhari ni kwamba ukitumia kitunguu saumu kina "thinning" effect kwenye damu na ndio maana pressure inashuka, lakini chonde chonde usijikate maana damu itakuwa haiclot. Kama utafanyiwa upasuaji hivi karibuni usitumie sana kitunguu saumu.
 
Hongera mkuu.@BAOSITA kwa Tiba mbadala sasa mimi ninauliza kwa faida ya Watu wengine Je unatakiwa Utumie hii dawa kwa muda wa siku ngapi? au ndio hiyo hiyo siku moja tu? inatosha mkuu?
 
Mkuu SixGoals, vipi kwa mjamzito haina tatizo?
 
Tuache kudanganya watu. Fungus haziwezi kuponyeshwa na kitunguu swaumu na kwa kutumia dose ya kitunguu kimoja tu.
 
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

Kaka usidanganye wadanganyika. Unajua kuhusu fungus na minyoo wewe? Dawa zako zina mechanism gani hadi zika cover aina zote za minyoo na fungus?
Umefanya tafiti gani hadi useme kiboko? Udaktari au tiba si rahisi hivyo mpaka utoe vitunguu kutibu magonjwa. Labda ukiwa Ndodi.
 
Kama anadanganya watu maana yake unaujuwa ukweli, je ukweli ni upi? ustaarabu siku zote unapompinga mtu onesha kwamba kitu sahihi ni hiki.
 
Kaka usidanganye wadanganyika. Unajua kuhusu fungus na minyoo wewe? Dawa zako zina mechanism gani hadi zika cover aina zote za minyoo na fungus?
Umefanya tafiti gani hadi useme kiboko? Udaktari au tiba si rahisi hivyo mpaka utoe vitunguu kutibu magonjwa. Labda ukiwa Ndodi.
Mkuu hujasumbuliwa na fungus wewe,naona tu jinsi unavyoongea.Kama huwezi ku-prove haifanyi kazi,bora kukaa kimya tu.
 
Hahahahaaa Mudy bhana, usione watu wacheka kaka, hali si nzuri kaka!!!! Ukipata nyingine iweke hapa jamvini uone watu watakavyoichangamkia...LOL HONGEA MGHOSHI
Kwa mtu anayesumbuliwa na fungus sugu ndiyo anayejua adha ya huu ugonjwa.Fungus huwa wanasababisha harufu mbaya sana mwilini,tena usiombe uwe nazo za sehemu nyeti!Utataka kujaribu kila dawa.Sasa kama kuna mtu ameshajaribu hii dawa niliyoelekeza na hajaona matokeo yeyote mazuri aje kusema hapa ili kila mtu ajue kwamba sio dawa nzuri.
 
jamani wana jamii naombeni msaada wenu jamani. Naombeni mjisaidie kama kuna madhara yoyote yanayotokana na fangasi kwenye sehemu za siri za mwanamke. Fangasi ya muda mrefu lakini tayari imeshatibiwa. Msaada tafadhali wadau. Natanguliza shukrani zangu za
dhati

Back
Top Bottom