msaada ni mwaka wa pili huu
nmejarbu daw mbalimbli ila imeshindkana yani adi ngozi imebadlika
rangi
Mkuu umemaliza tiba. Aachane na madawa ya kunywa/kupaka badala yake aelekeze juhudi kwenye usafi. Taulo lifuliwe kila siku na likauke vizuri na ikiwezekana lipigwe pasi . nguo za ndani kv kufuli na kaptula zifuliwe daily na kubadilishwa esp chupi na kupigwa basi. kama mazingira yanaruhusu usivae kufuli siku chache chache. wiki itakuwa historianakshaur uanze kampen ya usaf wa mwl kwa sabuni zenye dawa huku ukibadlsha 'kufuli' kama wadada ... yaani asubuh na jioni mwsho ukpata nafas jipe hewa kwa kupiga 'freestyle' yaan usivae chup ..
Hahahahh. Si ndio tiba hiyo? By the way, umeshawahi kutumua gel (dawa ya kupaka) inayoitwa "DIPROSALIC" Ointment? Inapatikana maduka karibia yote makubwa ya dawa. Hii na yenyewe inasaidia. Ipo kubwa na ndogo. Ndogo no kati ya shilingi 8000/9000 na kubwa ni 14,000. Inasaidia sana pia kupamnaba na waddu hao! Kila la kherigody asante sana ila uyo wa kutmbea bila kuful hy0 nomaaaaaaaaa
picha ya p$#* hahahahahahaaaaa.
Hahahahahah, umepinda wewe ah
puuuuuuuuuumbaaaaaa
Mkuu kwa daktari kende lazima uzichanue...sasa hapa jamvini wote si madaktari.Kwani huyo mgonjwa akienda kwa daktari hatomuonyesha hiyo sehemu iliyo athirika na huo ugonjwa???
Pengine inaweza ikawa si fangus ila ni ugonjwa mwingine.