Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dawa ya fungus kwenye uume nini?
dawa ya fungus kwenye uume nini?
CLOTRIMAZOL,apply the cream in a thin layer(1/2 cm stripe) 2-3 times per day for 1-2 weeks until no further symptoms .
Mkuu.@mtoto wa maskin Tumia Dawa aliyokwambia Mkuu.@mimi49 itakusaidia lakini usikose kwenda kumuona Daktari akupige pia sindano ili uweze kupona haraka pole sana.
nawashwa sana na majimaji fulani yanatoka zaid ya yote vpele km vjpu vyenye usaha hutokea juu ya ile sehem ya cr, baadhi wameniambia kuwa ni kaswende nikameza dawa na kuchomwa cndano lkn ugonjwa ukabak palepale.