Jamani ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje mana kila nikikaribia kuingia ktk cku zangu za kike ninapata fangas, ni mejarbu kila dawa ila cjui ata nini, zaid ya yote wkt mwngine vpele hutokea juu ya sehem i ya cr, nimeenda kwa madaktar wengi na kila mtu ansasema yake, kuna moja aliniambia ni kaswende nikameza dawa na cndano nikamalza lkn ugonjwa ukawepo 2, mwngne akaniambia ni dall zangu za izo cku km wengne anavyotokwa na chunusi, wa mwisho akaniambia ilo ni tatzo la kawaida kwa jinsia ya ke,
Naombeni ushauri, ni fanyeje mana nimechoka na ili tatzo.