Makini
Senior Member
- Dec 23, 2014
- 154
- 59
Hebu pitia thread hii mdau, nadhani utapata msaada wa kutosha kutokana na michango hiyo na mawazo tofauti tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua dawa ya kupaka ya SONADERM - GM inayopatikana kwenye maduka ya dawa muhimu kwa Tsh 3000 mpaka 4000. Hutojuta kuitumia ndugu. Halafu ipo faster sana. Ndani ya saa 12 utaona mabadiliko.
nenda hospital upone,mi ninavyoandika hapa kuna shem wangu wa kike katibiwa kapona kabisa,
Dogo acha wizi bana unaiba mpaka mzigo wa bro.!!nenda hospital upone,mi ninavyoandika hapa kuna shem wangu wa kike katibiwa kapona kabisa,
kwa uzoefu kutoka kwa madaktari bingwa wa wanawake tatizo la fungus sugu ukeni hasa kama umetibiwa sana bila bila mafanikio na umetumia dawa tofautitofauti bila kupona,sababu yake kuu ni kwamba ndani ya uke huwa kunakuwa na vimelea fulani ambavyo huwa vinaishi ukeni bila kuleta madhara yeyote na kinga kubwa kwa uke.lakini tabia za wanawake za kuosha uke ndio chanzo kikuu cha tatizo la fungus maana mnaondoa vile vimelea vinavyolinda uke dhidi ya fungus na bakteria wengine.suluhisho la kudumu na utapona kabisa badilisha tabia ya kuosha uke mpaka ndani kabisa ila osha kiasi hasa maeneo ya nje nje utaona mafanikio.nina ushahidi na ninachosema ikiwezekana nipm tuelezane zaidi.
Natumi ya kupaka tu ???

Fereke kwani kasema yeye ni KE au ME