Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hebu pitia thread hii mdau, nadhani utapata msaada wa kutosha kutokana na michango hiyo na mawazo tofauti tofauti
 
Nenda hospitali na usimsingizie girlfriend wako, maana angekuwa na fungus naye amgeumwa. Fungus wapo tu ila kinga inapopungua kwa namna yeyote huibuka.

Hata matumizi ya kuzidi ya antibiotic huuwa bacteria wazuri wanaotukinga na maambukizi ya fungus
 
Pia jitahidi kupima afya kwa ujumla, fangas si nzuri hvo bora ukajitoa wacwac
 
Habari wana Jf wenzangu.

Naombeni mnisaidie tiba ya fangusi wanaosumbua sehemu za siri.

Ni hayo tu.

Asanteni.
 
nenda hospital upone,mi ninavyoandika hapa kuna shem wangu wa kike katibiwa kapona kabisa,
 
Nunua dawa ya kupaka ya SONADERM - GM inayopatikana kwenye maduka ya dawa muhimu kwa Tsh 3000 mpaka 4000. Hutojuta kuitumia ndugu. Halafu ipo faster sana. Ndani ya saa 12 utaona mabadiliko.
 
Napenda kuuliza Dawa ya mba(vishilingi) vinavyowatokea watoto kichwani.
 
Nunua dawa ya kupaka ya SONADERM - GM inayopatikana kwenye maduka ya dawa muhimu kwa Tsh 3000 mpaka 4000. Hutojuta kuitumia ndugu. Halafu ipo faster sana. Ndani ya saa 12 utaona mabadiliko.

Natumi ya kupaka tu ???
 
kwa uzoefu kutoka kwa madaktari bingwa wa wanawake tatizo la fungus sugu ukeni hasa kama umetibiwa sana bila bila mafanikio na umetumia dawa tofautitofauti bila kupona,sababu yake kuu ni kwamba ndani ya uke huwa kunakuwa na vimelea fulani ambavyo huwa vinaishi ukeni bila kuleta madhara yeyote na kinga kubwa kwa uke.lakini tabia za wanawake za kuosha uke ndio chanzo kikuu cha tatizo la fungus maana mnaondoa vile vimelea vinavyolinda uke dhidi ya fungus na bakteria wengine.

suluhisho la kudumu na utapona kabisa badilisha tabia ya kuosha uke mpaka ndani kabisa ila osha kiasi hasa maeneo ya nje nje utaona mafanikio, nina ushahidi na ninachosema ikiwezekana nipm tuelezane zaidi.
 

Fereke kwani kasema yeye ni KE au ME
 
Last edited by a moderator:
futurestar hebu kuja hapa eleza vizuri gonjwa yako pia jinsia yako.

Je wewe ni Mke au Mme?

Hao fangus ni wa nje?

Au ikiwa wewe Mke, Je, hao fangus ni wa ndani au nje?

Unataka kusaidiwa basi jitahidi kujieleza watu wakuelewe vyema vinginevyo utaishia kupata majibu ya juu juu tu na hautafanikiwa kuitibu.

USHAURI.

Ikiwa fangus wanaosumbua ni wa nje bila kujali wewe ni Mke au Mme, fanya yafuatayo

1. Hakikisha haufugi nywele sehemu za siri kwani zinatunza uchafu na majimaji
2. Hakikisha sehemu za siri ni safi muda wote.
3. Hakikisha sehemu za siri ni kavu muda wote.
4. Hakikisha unaoga asubuhi na jioni na kisha kausha na paka dawa sehemu hizo za siri. Nashauri utumie FUNGIFENG
5. Kama wewe ni Mme acha tabia ya kuparamia wanawake ovyo leo huyu kesho yule unaokoteza fangus
6. Kama wewe ni Mke acha tabia ya kuparamia wanaume ovyo kwani unaokoteza fangus
7. Hakikisha chupi unazovyaa ni kavu na safi muda wote, ikiwa wewe ni Mke unaweza badilisha mara 2 kwa siku
8. Usiku unaweza usivae chupi ukavaa bukta au nguo za kulalia pekee, hii utaruhusu maeneo nyeti kupata hewa
9. Chup ikivaliwa mara moja ifuliwe, usirudie. haijalishi wewe ni mwanaume au mwanamke.

Kwa uchache ni hayo tu.

Kama ni fangus za ndani, mimi sina majibu.
 
Last edited by a moderator:

Fereke kwani kasema yeye ni KE au ME

Mie ni Me
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu kama ni jinsia ya kike ntafute ni tiba yako iliyotengenezwa na mimea asilia hakika utafurahia mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…