Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
Wewe ni ME au KENi dawa gani kutumia kutokomeza fangasi sehemu za siri
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1103893/Ni dawa gani kutumia kutokomeza fangasi sehemu za siri
tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...Tafuta moja inaitwa ketoconazole cream hope itakusaidia
Tuna watoto hadi wa form one humu JF mkuu unategemea watatoa jibu gani kama sio upuuzi?Mtu kaomba msaada msaidie kama una uwezo, kama huna ni afadhali ukae kimya kuliko kumwambia uwongo. Leo shida kwa mwenzio kesho kwako. Tangu lini upupu ukawa dawa kwa ugonjwa huo!!
Nenda hospita utapata dawa usiona aibu. Acha kuvaa nguo za ndani za mtumba, hakikisha mda wote unakuwa mkavu sehemu za siri, matibabu ta fungus ni ya mda mrefu so ukipata dawa tumia kwa mda mrefu na anza kuvaa nguo za ndani mpya, usisahau kunshauri na mwenza wako the same.Ni dawa gani kutumia kutokomeza fangasi sehemu za siri
Nimetumia huu mchanganyiko kwa kwel umenisaidia mba wa kichwan kupungua kwa asilimia 90. Thank u mleta huu uzi na mleta dawa ya huu mchanganyiko. MbarikiweJapo sina taakuma ya utabibu ninaamini maelezobyako kwa namna ulivyojieleza hapo. Asante sana
habari.
natafuta tiba mbadala ya fangasi ukeni.
maana kwa mwaka naweza umwa zaidi ya mara 10..
nmepewa sindano za Cetriaxone kama week3 zilizopita na Metro ila zimerudi tena..
huwa zinaambatana na .U.T.I
nmeshawahi kutumia cipro, flucan g150/200
dox nmetumia pia..
sasa jamani kwa anaejua dokta wa tiba mbadala na garama zake anipe namba zake!
maana huwa inaathiri mzunguko wa siku zangu za hedhi...
Wewe unawaza kupigwa mti tu wakati mwenzako anaulizia tiba, ni wapi aliposema ana bwana?huyo bwanako ameshatibiwa? au unajitibu tu mwenyewe?
HUO UGONJWA UNADHANI ANAUPATA WAPI WAKATI ANATUMIA MATIBABUWewe unawaza kupigwa mti tu wakati mwenzako anaulizia tiba, ni wapi aliposema ana bwana?
Mimi si mtu wa kudhanidhani kama wewe hili jukwaa ni JF doctor kama hujui kitu kaa kimya wacha wanataaluma watumie taaluma zao.HUO UGONJWA UNADHANI ANAUPATA WAPI WAKATI ANATUMIA MATIBABU
zinapatikana wapi?View attachment 435417 jaribu hiyo
sina bwanahuyo bwanako ameshatibiwa? au unajitibu tu mwenyewe?