Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
wakuu hivi kuna watu wanajifyatua wanatoa ushaurii ambao hauna miguu wala mikono na kama ulimkuta aliyeomba msaada naye kichwa kipo kitupu anafata huo ushaurii
eti ttumia whitedent kujitibuu
eti paka upuu
nami ningeomba niwe modereta nijifunze kupiga banned
eti ttumia whitedent kujitibuu
eti paka upuu
nami ningeomba niwe modereta nijifunze kupiga banned