Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hii unapaka sehem zote zilizo athirika?sehem za siri au kichwani?
 
kucha zangu zimeshambuliwa hvi je hili ni tatizo la fungus au ni ugonjwa gan na naweza nikautibu vp
 
Waulize Pugu boys wazee wa Fungus watakupa jibu. Cheki na Next Level.....tehe teheee. Manake yale maji ya pond balaa....usipoangalia kitu inaweza kukatika
Mkuu,umenikumbusha fangasi wa pande hizo wakati nikiwa Minaki Sec. Luna dawa Fulani hivi tulikuwa tukipewa kwenye kizahanati cha while,nadhani inaitwa Whitefield.Ni Kali sana ukiipaka,yaani unahisi kama korodani zinachanwachanwa na nyembe.Ajabu ni kwamba nilikuwa napona vizuri nikiendelea kuogelea baharini.
 
Pia kama unasumbuliwa sana na fangus za sehemu za siri bila sababu, (long time use of antibiotics, mazingira machafu....) ni busara sana kucheki HIV
 
Bure dawa hii hapa asili Safi unga wa mdalasini pakaa SEHEMU husika nikuliko dawa yoyote ya fangus unayoijua wewe na hio hio kula viko vya Chai vikubwa 3 asabuhi na jioni kiwango vikombe vya Chai vitatu asali vitatu unga wa mdalasini
 
Ulifanyaje ndugu sobya? Hiyo Septrine ya shilingi 1000 inakuwa na vidonge vingapi? Na vaseline ya shilingi 300 ina ujazo kiasi gani? Tafadhali naomba ufafanuzi ili nisije kuzidisha au kupunguza katika uchanganyaji. Asante.
VP mkuu hii tiba ilifanikiwa.
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,

Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.

Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.

Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…